Nimestushwa na Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Je ni kufilisika ki Maono kwa CCM?

Aliyesomea shahada ya sheria aende veta ili aweze kujiajiri kama hakimu au wakili. Na waliosomea ualimu au uuguzi waende veta waweze kujiajiri! We jamaa ni kichwa sana. Unastahili kuwa waziri mkuu, shida hujapitia veta
 
Wakati nipo chuoni nilitumia laptop yangu na bundle la bure kujifunza online namna ya kutengeneza graphics.
Hii inaitwa ''personal initiative'' na ni jambo jema sana
Baadae nikajifinza digital marketing. Nilianza kutengeneza pesa nikiwa mwaka wa pili, chuoni kunikuta na laki 5 mfukoni ilikuwa jambo la kawaida.
Kwasababu ya ''personal initiative' na si kwamba ulikwenda VETA
Na nikiwa mwaka wa 3 ilitangazwa kazi na kampuni moja nikaomba wakaniita interview japo sikuwa na experience nikajieleza nikawaonesha kazi zangu jamaa wakanichukua nikiwa bado mwanafunzi nikawa nasoma huku nafanya kazi. Kwenye interview nilikutana na watu wameshamaliza chuo wapo mtaani wanasaka ajira na wamesomea marketing wengine communication ila nikachukuliwa mimi. Kwa sababu dunia ipo kwenye ujuzi haipo tena kwenye vyeti.
Sijui kama unajua kwamba Interview ni kitu ''subjective'. Kuna vitu vingi vina influence mtu kuchaguliwa.
Huenda ulichukuliwa kwasababu ya kuwa na ''personal initiative'' tena ukiwa shule, wakaona utawafaa.
Huenda walivutika na jinsi ulivyojieleza kama unavyosema licha ya kwamba huna experience n.k.
Kwahiyo kupata kazi kwa interview ni ''subjective'' nasisitiza na wala usione kwamba ni mwamba
Veta ni traditional lakini kuna online platform kibao za kujifunza ujuzi.
Yes, nakubaliana na wewe ndio maana nasema kuna kitu knaitwa ''personal initiative'' kwa maana kwamba unaweza kuongeza maarifa juu ya msingi wa maarifa uliyo nayo
Tuwaambie vijana ukweli serikali haiwezi kuajiri wala kutoa mikopo kwa graduates laki 8. Waende veta wakaapte ujuzi.
Ni kweli ! si kazi ya serikali kuajiri lakini ni kazi ya serikali kutengeneza mazingira yanayozalisha ajira.

Kuhusu kutoa mikopo hapo unaimba nyimbo! huna hoja.
Serikali inaweza kununua V8 500 kwa gharama ya 400M.
Pale Dodoma kuna Watu wanalipwa Tsh 600,000 kwa kukaa kwenye kiti cha kazi kila siku.
Kuna watu wanalipwa lita za mafuta 70 kwa wiki hata kama wamekwenda Ukweni kusalimia.
Kuna watu wanalipwa milioni 18 kwa mwezi. Kiinua mgongo 272M achilia mbali Magari ya nusu mikopo

Likija suala la Vijana , Serikali haina pesa! acha hizi nyimbo za kufundishwa! put on your thinking cap dude!
 
Wakati nipo chuoni nilitumia laptop yangu na bundle la bure kujifunza online namna ya kutengeneza graphics. Baadae nikajifinza digital marketing. Nilianza kutengeneza pesa nikiwa mwaka wa pili, chuoni kunikuta na laki 5 mfukoni ilikuwa jambo la kawaida. Na nikiwa mwaka wa 3 ilitangazwa kazi na kampuni moja nikaomba wakaniita interview japo sikuwa na experience nikajieleza nikawaonesha kazi zangu jamaa wakanichukua nikiwa bado mwanafunzi nikawa nasoma huku nafanya kazi. Kwenye interview nilikutana na watu wameshamaliza chuo wapo mtaani wanasaka ajira na wamesomea marketing wengine communication ila nikachukuliwa mimi. Kwa sababu dunia ipo kwenye ujuzi haipo tena kwenye vyeti.
Veta ni traditional lakini kuna online platform kibao za kujifunza ujuzi.

Tuwaambie vijana ukweli serikali haiwezi kuajiri wala kutoa mikopo kwa graduates laki 8. Waende veta wakaapte ujuzi.
Ujuzi ulioupata online ulikuwezesha kupata pesa ungali upo chuoni, ikawa hukosi laki 5 mfukoni. Bado ukaona ulazima wa kuajiriwa!
 
Wee acha tu! maana inachekesha sana. Mbaya zaidi kauli ya PM ina wapiga debe! hawaoni wala kusikia

Kwamba, Nurse yupo VETA anajifunza kumwaga Oil
Journalist yupo VETA anajifunza kufungua rejeta za magari
Vertenary Officer na BVM yake kutoka SUA yupo VETA anapata ujuzi wa kushika grinder!
Mtaalamu wa Geology kutoka UDSM anapata ujuzi wa kufunga AC za Magari pale VETA
CPA naye yupo VETA anapata ujuzi wa kulisha ng'ombe kwa mashudu

Dah!
Huwa namlinganisha PM wetu na PM wa kanchi kadogo ka Barbados, Mia Amor Mottley, nashangaa tulivyojiwekea viwango vya chini vya weledi wa viongozi wetu. Tusishangae kusikia watu wakimpigia debe chalaboy au kondaboy kuchukua usukani 2030. Kwa nchi yetu hata kidoti anaweza kuwa prezoo
 
Kuwa na skills tofauti tofauti ni jambo jema,
Nazipongeza zile shule na vyuo zinazotoa masomo ya ziada ukiacha yale ya msingi
MFANO:
1. Kuna shule ya sekondari inatoa masomo ya kawaida pamoja na ya ziada kama URUBANI (nadhani ni ALPHA SCHOOLS)✈️🛩️🛫✈️

2. Kuna shule na vyuo pamoja na masomo yake ya kawaida wameongeza somo la UJASIRIAMALI (kama sijakosea NIT, MIPANGO na CBE nao wanatoa hizi kozi za ziada)

3. Kuna shule pamoja na masomo ya kawaida ya sekondari waliongeza na UFUNDI (kama pia bado sijakosea mojawapo ni IFUNDA, IHANJA, MKWESE) na nyinginezo nyingi🚘🚘👨‍🔧⚡

4. Kuna shule pamoja na masomo ya kawaida ya sekondari pia yanatoa mafunzo ya KILIMO (Mfano ni MKWESE SEKONDARI iliyopo MANYONI mkoani Singida ambayo huwa inatoa mafunzo ya KILIMO na UFUNDI)🚜🎋

5. Achilia mbali shule na vyuo mbalimbali zinazotoa mafunzo ya KOMPYUTA🖥️💻💾📀🖱️

6. BIASHARA

7. Kuna shule kuanzia chekechea zinatoa mafunzo ya LUGHA mbalimbali za kimataifa kama KIARABU, KICHINA, KIFARANSA, KIRENO, KIHISPANIA na kadhalika

8. Shule kama MILAMBO (boys na Girls), JITEGEMEE na MAKONGO ....... Vijana walikuwa wanatoka wakiwa na ujuzi wa awali wa "UKAKAMAVU" (elewa neno UKAKAMAVU) Na kutunukiwa vyeti vya ukakamavu :olafGunner:🔫🔫🔫:Alarm::BLAPBLAP::BLAPBLAP::Salute:👮‍♂️🚨🚓🚔

9. MICHEZO (Fountain gates, Jitegemee, Makongo)⚽🏐🏓🏸🏅

KABLA HATUJAPUUZA AMA KUKEBEHI MANENO YA MAJALIWA KUTOKANA NA TOFAUTI ZETU , TUJIHOJI NA KUJIRUDI KAMA TAIFA
NADHANI KUNA "LULU" AMA "HAZINA ILIYOSITIRIKA" KWENYE UJUMBE WA WAZIRI MKUU......... TUUFANYIE KAZI KAMA TAIFA...
ASANTENI🙏🙏🙏
 
CCM ndio wana andaa mpango wa maendeleo wa taifa, wao wanaita 2025 -2050.

Wana copy kwa washirika wetu wa china. Usishangae wameambiwa hivyo ndivyo kule wanafanya hivyo na sisi tunapswa kufanya.
 
Wanataka nesi nae aende kujifunza Rejeta inavofanya kazi, kumwaga injini oil
Aisee
Aliposema VETA sio lazima uwe fundi magali, unaweza kuwa nurse au MD doctor ukaenda kusoma VETA kushona, au kupaka rangi, wiring n.k.

Maana yao nikwamba usiwaulize wao ajira, licha ya kwamba wanataka ulipe mkopo wao wa HeSALB, lakini hawataki kujua utapa wapi pesa za kuwalipa, wanataka kila mtu afanye kazi, bila kujali unafanya kazi gani.
 
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......

Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear path yake yote imeanzia kwenye kuajiriwa from his age of 27 to the age of 60 or so....na wengine hadi kwenye miaka 80 wanapambana na ajira........ what a shame!

Nilitegemea top management ya nchi mkae chini na muje na evidence based decision on how to handle the matter na sio kutanua goli.

Kama kujiajiri ni rahisi mbona nyie mpo kwenye ajira kwenye 80 ?

Kwa mfano, huku majuu ajira sio big issue....haina maana kuwa watu ni SMART, ni serikali imeweka mazingira rafiki...,Nesi, Daktari , maabara na Famasia waliomaliza degree yao wanaweza kuandaa proposal yao na Serikali ikatoa 300M na watu wakafungua Hospital with minimum interest .

Engineers, Architect and all that, wanafungua kampuni they get gvt loan fund with minimal interest ... hizo kampuni za construction ndio hao wanajenga barabara, buildings na gvt inawapa tenders..... hao watu pia wanaajiri na wengine .... that is why majuu kuajiriwa na gvt sio kitu muhimu.

Kampuni ya Straberg iliyojenga zile mwendokasi za mwanzo ilianzishwa na degree holder 2 waliopata gvt loan. Hizi ndio Strategies viongozi mkae chini mje na solutions , vijana sio wajinga.....ni nyie hamna weledi na maono ya nini cha kufanya…..resources mnazouza zinamnufaisha MTZ?

Barabara za TZ unakutana na wachina, nyie mmeshindwa kuandaa vijana wenu kufanya hizo kazi ?

Kujenga barabara nazo we need Mchina...Karine ya 21 . what a shame ?hivyo vyuo vinakazi gani ?

Mchina anauza maji hadi KKO, yaani mtu katoka chini kuja kuuza maji TZ halafu mnajiita viongozi

mtu kasomeshwa na bodi ya mikopo kamaliza shule halafu unamwambia kajiajiri..... are we mad ? At the same token mtu wa 80 yupo kwa ajira ! Experience my foot ..... nini ambacho anakifanya kijana wa 35 hawezi kukifanya....?

Acheni hizo mambo na kulewa madaraka ....lets be real ....kujiajiri kuna hitaji START UP, nyie kama viongozi kaeni chini mje na mikakati ya kuwasaidia vijana na sio kuwaambia waende Veta , huo ni UCHAWI maana hata Veta Itajaa.

Kuna vile vimikopo vya 3M 🤣TAMISEMI.....huwa hata inawafikia walengwa... ? si wanakula kina Mchengerwa na kuongeza wake.....

Dr Megalodon Mushi, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
VETA.jpg
 
PM yuko sahihi, UVCCM akina Mwashambwa waachane na UCHAWA wakasome VETA sasa ili kujipatia kipato halali
 
Kama haya ni mawazo ya PhD candidate basi taifa lina kazi kubwa sana ya kutoka hapa tulipo.
Majaliwa yupo sahihi sana vijana kama wewe mnaongeza makaratasi mnayaita vyeti mnataka yatumike kuwaletea pesa nendeni veta au tafuteni namna ya kuwa na skills ulimwengu huu haulipwi sababu ya hayo makaratasi yako utalipwa kwa ujuzi ulionao. Achana na hiyo PhD nenda veta kwanza.
Mchina anakuja kufungua biashara ya kuosha kucha wewe mpuuzi unakusanya makaratasi unataka serikali ikutafutie ajira
Kwa mujibu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), mitaala ya Elimu inayotolewa katika vyuo vikuu nchini ni Competence Based inayohakikisha mhitimu ana knowledge, skills na competencies katika eneo analosomea. Sasa inakuaje mtu ahitimu chuo kikuu na asiwe na skills mpaka aende VETA ?
 
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......

Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear path yake yote imeanzia kwenye kuajiriwa from his age of 27 to the age of 60 or so....na wengine hadi kwenye miaka 80 wanapambana na ajira........ what a shame!

Nilitegemea top management ya nchi mkae chini na muje na evidence based decision on how to handle the matter na sio kutanua goli.

Kama kujiajiri ni rahisi mbona nyie mpo kwenye ajira kwenye 80 ?

Kwa mfano, huku majuu ajira sio big issue....haina maana kuwa watu ni SMART, ni serikali imeweka mazingira rafiki...,Nesi, Daktari , maabara na Famasia waliomaliza degree yao wanaweza kuandaa proposal yao na Serikali ikatoa 300M na watu wakafungua Hospital with minimum interest .

Engineers, Architect and all that, wanafungua kampuni they get gvt loan fund with minimal interest ... hizo kampuni za construction ndio hao wanajenga barabara, buildings na gvt inawapa tenders..... hao watu pia wanaajiri na wengine .... that is why majuu kuajiriwa na gvt sio kitu muhimu.

Kampuni ya Straberg iliyojenga zile mwendokasi za mwanzo ilianzishwa na degree holder 2 waliopata gvt loan. Hizi ndio Strategies viongozi mkae chini mje na solutions , vijana sio wajinga.....ni nyie hamna weledi na maono ya nini cha kufanya…..resources mnazouza zinamnufaisha MTZ?

Barabara za TZ unakutana na wachina, nyie mmeshindwa kuandaa vijana wenu kufanya hizo kazi ?

Kujenga barabara nazo we need Mchina...Karine ya 21 . what a shame ?hivyo vyuo vinakazi gani ?

Mchina anauza maji hadi KKO, yaani mtu katoka chini kuja kuuza maji TZ halafu mnajiita viongozi

mtu kasomeshwa na bodi ya mikopo kamaliza shule halafu unamwambia kajiajiri..... are we mad ? At the same token mtu wa 80 yupo kwa ajira ! Experience my foot ..... nini ambacho anakifanya kijana wa 35 hawezi kukifanya....?

Acheni hizo mambo na kulewa madaraka ....lets be real ....kujiajiri kuna hitaji START UP, nyie kama viongozi kaeni chini mje na mikakati ya kuwasaidia vijana na sio kuwaambia waende Veta , huo ni UCHAWI maana hata Veta Itajaa.

Kuna vile vimikopo vya 3M 🤣TAMISEMI.....huwa hata inawafikia walengwa... ? si wanakula kina Mchengerwa na kuongeza wake.....

Dr Megalodon Mushi, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Kama kweli unaishi Canada utakuwa unawaona kwawingi self employed plumbers,electricians,joiners,builders na fani zinginezo,handy jobs nisehemu Nyengine dunia inakoelekea,Nambie kwa maono yako kwadunia yaleo ilivyo na masoftware uhasibu sijui procurement unaajiri Watu wengi kuliko hizo trades based skills?Naomana watoto wengi wanakufa njaa sababu mtu kashasoma lidigrii lake Hana ujuzi mwengine ispokuwa hapo Tu,Badala yakubeza na kuwafanya kuwa lazy wahamasishe watafute ujuzi mbadala waendeshe maisha,we huoni mtu akiwa na degree yeyote Ile plus akawa na ujuzi inakuwa nirahisi kwake kujiendesha na hata kuwa na kampuni kubwa Tu?
 
Mnajiropokea tu

Kuna vijana wangapi walitoka VETA ambao wameweza kuanzisha kampuni?
 
Ni kauli ya kipuuzi sana kuwahi kutokea na inaichafua serikali
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......

Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear path yake yote imeanzia kwenye kuajiriwa from his age of 27 to the age of 60 or so....na wengine hadi kwenye miaka 80 wanapambana na ajira........ what a shame!

Nilitegemea top management ya nchi mkae chini na muje na evidence based decision on how to handle the matter na sio kutanua goli.

Kama kujiajiri ni rahisi mbona nyie mpo kwenye ajira kwenye 80 ?

Kwa mfano, huku majuu ajira sio big issue....haina maana kuwa watu ni SMART, ni serikali imeweka mazingira rafiki...,Nesi, Daktari , maabara na Famasia waliomaliza degree yao wanaweza kuandaa proposal yao na Serikali ikatoa 300M na watu wakafungua Hospital with minimum interest .

Engineers, Architect and all that, wanafungua kampuni they get gvt loan fund with minimal interest ... hizo kampuni za construction ndio hao wanajenga barabara, buildings na gvt inawapa tenders..... hao watu pia wanaajiri na wengine .... that is why majuu kuajiriwa na gvt sio kitu muhimu.

Kampuni ya Straberg iliyojenga zile mwendokasi za mwanzo ilianzishwa na degree holder 2 waliopata gvt loan. Hizi ndio Strategies viongozi mkae chini mje na solutions , vijana sio wajinga.....ni nyie hamna weledi na maono ya nini cha kufanya…..resources mnazouza zinamnufaisha MTZ?

Barabara za TZ unakutana na wachina, nyie mmeshindwa kuandaa vijana wenu kufanya hizo kazi ?

Kujenga barabara nazo we need Mchina...Karine ya 21 . what a shame ?hivyo vyuo vinakazi gani ?

Mchina anauza maji hadi KKO, yaani mtu katoka chini kuja kuuza maji TZ halafu mnajiita viongozi

mtu kasomeshwa na bodi ya mikopo kamaliza shule halafu unamwambia kajiajiri..... are we mad ? At the same token mtu wa 80 yupo kwa ajira ! Experience my foot ..... nini ambacho anakifanya kijana wa 35 hawezi kukifanya....?

Acheni hizo mambo na kulewa madaraka ....lets be real ....kujiajiri kuna hitaji START UP, nyie kama viongozi kaeni chini mje na mikakati ya kuwasaidia vijana na sio kuwaambia waende Veta , huo ni UCHAWI maana hata Veta Itajaa.

Kuna vile vimikopo vya 3M 🤣TAMISEMI.....huwa hata inawafikia walengwa... ? si wanakula kina Mchengerwa na kuongeza wake.....

Dr Megalodon Mushi, PhD candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
 
wanatoka wakiwa na ujuzi wa awali wa "UKAKAMAVU" (elewa neno UKAKAMAVU) Na kutunukiwa vyeti vya ukakamavu :olafGunner:🔫🔫🔫:Alarm::BLAPBLAP::BLAPBLAP::Salute:👮‍♂️🚨🚓🚔
Mkuu hawa vijana "wakakamavu" wakikosa ajira ni hatari sana kwa taifa😄
 
kwanza kuzingati na kutekeleza kwa vitendo mawaidha aliyoyatoa waziri mkuu dhidi ya graduates wasaka ajira mtaani kupata ujuzi veta na kujiari,

Lakini pili,
graduates waje seketa ya kilimo na ufugaji biashara ambayo ina ajira za uhakika na kutosheleza waTanzania wote.

Kuhusu utajiri kwenye sekta hizi, ni wa wazi na wa uhakika zaidi tena bila uchawi wala ushirikiana.

Hakuna haja kwa vijana kupoteza muda kwa kuzurura na kuchakaza viatu mijini na bahasha za kaki hali ya kua ajira nyingi za uhakika zipo shambani 🐒
Serikali inawawezeshaje kunufaika na sekta hio?
 
Wakati nipo chuoni nilitumia laptop yangu na bundle la bure kujifunza online namna ya kutengeneza graphics. Baadae nikajifinza digital marketing. Nilianza kutengeneza pesa nikiwa mwaka wa pili, chuoni kunikuta na laki 5 mfukoni ilikuwa jambo la kawaida. Na nikiwa mwaka wa 3 ilitangazwa kazi na kampuni moja nikaomba wakaniita interview japo sikuwa na experience nikajieleza nikawaonesha kazi zangu jamaa wakanichukua nikiwa bado mwanafunzi nikawa nasoma huku nafanya kazi. Kwenye interview nilikutana na watu wameshamaliza chuo wapo mtaani wanasaka ajira na wamesomea marketing wengine communication ila nikachukuliwa mimi. Kwa sababu dunia ipo kwenye ujuzi haipo tena kwenye vyeti.
Veta ni traditional lakini kuna online platform kibao za kujifunza ujuzi.

Tuwaambie vijana ukweli serikali haiwezi kuajiri wala kutoa mikopo kwa graduates laki 8. Waende veta wakaapte ujuzi.
🗑
 
Serikali inawawezeshaje kunufaika na sekta hio?
Hana jibu hakuna inachoweza kuwawezesha akili yao ilipoishia vijana wote wasio na ajira wawe bodaboda hao waa kiume na vijana wa kike waende wakajiuze, hapo ndio akili zao zilipoishia
 
Back
Top Bottom