imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Basi mtumbueni.Kauli ya PM ni yake binafsi kama Majaliwa sio kauli rasmi ya serikali. Mimi pia siungi mkono kauli yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mtumbueni.Kauli ya PM ni yake binafsi kama Majaliwa sio kauli rasmi ya serikali. Mimi pia siungi mkono kauli yake.
sifahamu kua kiongozi wa wananchi ni ajira au utumishi gentleman, maana nimejaa tele eneo hilo, lakini pia kwenye kilimo na ufugaji biashara ndio haswa sebuleni na chumbani pangu 🐒Umejiajiri au upo kwenye ajira ?
Sijawai kufanya ofisi ya umma. Nimejiajiri ila nimeshawai ajiriwa.Umejiajiri au umekalia Ofisi ya Umma?
Kama ww ni kiongozi wa wananchi basi umeajiriwa. Then huewezi kuelewa kunachojqdiliwasifahamu kua kiongozi wa wananchi ni ajira au utumishi gentleman, maana nimejaa tele eneo hilo, lakini pia kwenye kilimo na ufugaji biashara ndio haswa sebuleni na chumbani pangu 🐒
Ujuzi utaomuwezesha kupata ajira. Nikihitaji graphic designer natafuta form four leaver mwenye uwezo wa kutumia adobe photoshop/Illustrator, sihitaji mavyeti yako ya udsm.
Niliajiriwa kwa sababu nilikuwa nna ujuzi. Mimi niliajiriwa tangu nipo chuoni wakati huo kuna watu mtaani graduates waliachwa.You had a Start up
Not bad .
Kwanini ulipomaliza tu shule ukaajiriwa badala ya kujiajiri?
Gentleman,Kama ww ni kiongozi wa wananchi basi umeajiriwa. Then huewezi kuelewa kunachojqdiliwa
Alikuwa katika hafla kama mgeni rasmi (Waziri Mkuu). Huwezi kutenga kauli zake binafsi akiwa katika shughuli za serikali. Ni kauli ya Serikali na ya Chama kwasababu ana kofia mbili zinazompa hadhi ya Uwaziri Mkuu.Kauli ya PM ni yake binafsi kama Majaliwa sio kauli rasmi ya serikali. Mimi pia siungi mkono kauli yake.
Nimekuuliza specific, Daktari wa Meno (DDS) au Medicine (MD) au Nurse wanakwenda veta kupata ujuzi gani?Ujuzi utaomuwezesha kupata ajira. Nikihitaji graphic designer natafuta form four leaver mwenye uwezo wa kutumia adobe photoshop/Illustrator, sihitaji mavyeti yako ya udsm.
Ujuzi utaomuwezesha kupata ajira. Nikihitaji graphic designer natafuta
Ila waliyohitimu veta wanawapiga gape waliyosoma degree masomo ya uinjinia nk unakubaliWhat a joke
MDs kibao kwa sasa wanazurura mitaani
Ila acha inyeshe
Hili bomu lilipuke tu
Mbegu lazima ioze
Baadhi ya masomo vyuoni vinahitaji practical zaidiSawa. Tusaidie vijana tuwawekee mazingira ya kujiajiri Senior
Wa sua wakalime wawezeshwe na serikaliNimekuuliza specific, Daktari wa Meno (DDS) au Medicine (MD) au Nurse wanakwenda veta kupata ujuzi gani?
Mtu aliyemaliza Kilimo SUA, au Mass communication anakwenda veta kupata ujuzi gani?
kwanza kuzingati na kutekeleza kwa vitendo mawaidha aliyoyatoa waziri mkuu dhidi ya graduates wasaka ajira mtaani kupata ujuzi veta na kujiari,Sawa. Tusaidie vijana tuwawekee mazingira ya kujiajiri Senior
Watu hawaoni hoja yako, wamekariri VETA.! Sasa kama Veta i mworabaini kuna sababu gani ya kuwa na Vyuo vya Kati na Vyuo vikuu? Yaani Engineer aende VETA kufundishwa na Fundi Mchundo!What a joke
MDs kibao kwa sasa wanazurura mitaani