CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za kimataifa, tabasamu limeanza kuonekana baada ya Aishi Manula kuanza mazoezi ya uwanjani.
Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, amerejea kwenye uwanja cha mazoezi mara baada ya kuwa nje muda mrefu akiuguza majeraha ya mguu.
Manula ameanza rasmi mazoezi na magolikipa wenzake ndani ya klabu hiyo tofauti na awali alipokuwa akifanya binafsi kwa takribani wiki tatu.
Kwa mujibu wa duru za habari kutoka kwenye uongozi wa Simba, zinasema kuwa Manula kwa sasa yupo tayari kwa ajili ya kukaa kwenye milingoti mitatu ya Simba.
HUKU HARI YA MANURA IKIWA HIVYO INONGA NAYE KAREJEA KWA KISHINDO.
Kuhusu Hali ya Beki wa Simba Henoc Inonga,
kutoka DR Congo Henock Inonga Baka, anatarajia kurejea dimbani mapema zaidi ya ilivyodhaniwa, kufuatia jeraha lake kuendelea vizuri.
Daktari wa klabu hiyo, Edwin Kagaboamesema kuwa kuwa beki huyo maendeleo ya Afya yake ni mazuri Amekwisha Anza Mazoezi mepesi na wiki ILIYOPITA alianza Mazoezi na wenzake.
Daktari aliniambia Kilikuwa kidonda chenye sentimeta 10 kwa nne, Urefu na upana, matibabu yake ni kwamba alishonwa nyuzi 13, lakini kila kitu kwenye matibabu kilikwenda vizuri,”
USHAURI WANGU KIUFUNDI JUU YA INONGA NA MANURA KUELEKEA MCHEZO WA UFUNGUZI WA AFRICAN SUPER LEAGUE.