Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu.
Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100%
Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala mfumuko wa bei.
Watoto wetu wangekula vizuri na kushiba.
Asikudanganye mtu usitarajie mtoto kufaulu masomo huku nyumbani Chakula anakula kwa manati.
Ndio maana Boarding na international schools quality of meals and food ni top priority.
Hata katika maisha ya kawaida hakuna kitu utafanya ukafanikiwa kama akili ina njaa , inawaza itapata chakula saa ngapi na lini.
Ni muda sasa CCM itoke madarakani.