professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
ππππKuoa ndo nini?
Kuolewa mke wa kanisani ni balaa zito. Yaliyonikuta anayajua Mshana Jr peke yake.Wakuu nimetoka kutakari juu ya maisha ya kuoa nimeona bora jitihada zangu nielekeze kwenye kuwatumikia watu pamoja na kutoa huduma kuliko kuoa.. Ushauri kwa wale walio matowashi humu ndani nipeni changamoto zenu na mlianzaje Asanteni!
Mwanzo 1:28 BHNMungu akusaidie sana.
Mt 19:12Mwanzo 1:28 BHN
Mungu akawabariki na kuwaambia,
"Zaeni muongezeke,mkaijaze nchi na kuimiliki,muwatawale Samaki wa baharini,ndege wa angani na kila kiumbe hai kitembeacho Duniani"
Swali,Sasa huyo mleta mada unataka asaidiwe na Mungu yupi na asaidiwe kitu gani? ikiwa anaenda kinyume na maagizo ya Mungu? akizaa nje ya ndoa hiyo inakua amefanya zinaa kitu ambacho Mungu hakipendi,
Nasubiri jibu toka kwako nielimike.