Nimetafuta wine iitwayo " Pinot Noir" Dar nzima nimekosa.

Ziko nyingi tu na za kila aina hapo Mohan's na kwa Mawela kama ana pajua. Pia Mlimani City shopping center anaweza pata red wines nzuri tu
Hili tuwaachie wa mikoa mingine, kasema dar nzima hakuna. Vp wa huko AR, mz, nk.
 
Nani ana access na mahali ninapo weza kuipata?

I am thinking of flying to Dizonga in case kama nitaendelea kuikosa.

With much thanks in advance
Utasumbuka sana
Ukiipata nijulishe nami nikakwamue za kutosha
Wine za kutoka SA zimejaa maji
Hard Liquor za India zinakiharufu fulani hivi.
Beer za bongo wanachakachua
 
Vitu vingi kodi kubwa mkuu ndio maana kupata hivyo unaona kama sio huduma...kuvileta pana vipengere vya kutosha ukiwa mgeni unaweza kuona kama unatapeliwa kumbe ni malipo harali ya Serikali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…