Nimetafuta wine iitwayo " Pinot Noir" Dar nzima nimekosa.

Nimetafuta wine iitwayo " Pinot Noir" Dar nzima nimekosa.

Ziko nyingi tu na za kila aina hapo Mohan's na kwa Mawela kama ana pajua. Pia Mlimani City shopping center anaweza pata red wines nzuri tu
Hili tuwaachie wa mikoa mingine, kasema dar nzima hakuna. Vp wa huko AR, mz, nk.
 
Nani ana access na mahali ninapo weza kuipata?

I am thinking of flying to Dizonga in case kama nitaendelea kuikosa.

With much thanks in advance
Utasumbuka sana
Ukiipata nijulishe nami nikakwamue za kutosha
Wine za kutoka SA zimejaa maji
Hard Liquor za India zinakiharufu fulani hivi.
Beer za bongo wanachakachua
 
Dar kuna tabu moja.. kuna vitu vilipaswa patikana hapa kwa wepesi sana.. Ila sasa sijui tabu Nini ... Kma huna pesa ya gharama ... Utaishia mikononi mwa local +++ hutaamini
. Kila kitu hapa kimcwekwa kma ufahari na si huduma[emoji3][emoji3] dalili za ;- ushamba..ulimbukeni... Ufahari... Hata huwa sielewi ... Yaan wine moaka uombe msaada huku..,[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Vitu vingi kodi kubwa mkuu ndio maana kupata hivyo unaona kama sio huduma...kuvileta pana vipengere vya kutosha ukiwa mgeni unaweza kuona kama unatapeliwa kumbe ni malipo harali ya Serikali...
 
Back
Top Bottom