Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaJF naomba ushauri wenu nifanye je ?
Mchumba nampenda sana na nataka kuoa ila hiyo mahali niliyotajiwa imeniumiza kichwa kabisa.
Wazazi wake wanataka mahali 5mil.mi ntatoa wapi ?
Hii ni biashara ?mbona tunaumizana hivi ?nimejaribu kuzungumza na mchumba wangu ,anasema hana uwezo wa kubadili maamuzi ya kikao cha wazazi na ndugu zake ? Naomba wajf mnishauri please?
Nifanye je?
Naomba ushauri
Mimi dhana ya mahari huwa naikataa kabisa hila kama wewe unaamini dhana hiyo basi hiyo pesa uliyotajiwa ni ndogo sana kulingana na thamani ya mwanamke.
Je we unafikiri mke wako mtarajiwa sio wa thamani hiyo na kama siyo unafikiri ni wa sh ngapi?
Huyo wanamuuza we mnunuetu ukitaka,ila kwa wapendanao mahari haina nafasi!
WaJF naomba ushauri wenu nifanye je ?
Mchumba nampenda sana na nataka kuoa ila hiyo mahali niliyotajiwa imeniumiza kichwa kabisa.
Wazazi wake wanataka mahali 5mil.mi ntatoa wapi ?
Hii ni biashara ?mbona tunaumizana hivi ?nimejaribu kuzungumza na mchumba wangu ,anasema hana uwezo wa kubadili maamuzi ya kikao cha wazazi na ndugu zake ? Naomba wajf mnishauri please?
Nifanye je?
Naomba ushauri
"elitrea" ndio wapi? au ulimaanisha Eritrea?
mimi nilishasema mahali ikizidi milioni 1.8 hapo ni biashara
sasa milioni 5 au wazazi wanataka kumfanya mtoto wao kama chombo cha wao kumaliza matatizo yao yote ya ki uchumi?
mgonge mimba fasta uone kama mzigo hautopungua huo..atleast ulishaonesha nia