Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa
Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ...
Yan nataman ningelipata lidada limoja la kikenya mrembo linichangamshe aisee..
Yan madada tena warembo wako mbele ya askari wenye risasi live na hawaogopi risasi kabisa 😍
Naitaji wanawake wa hivyo hata inatokea madili ya pesa ila ya hatari haogopi ananiambia baby twende tukapige pesa don't be a p*ssy ..😍😍 mdada wa hivyo hata kwenye maendeleo yenu lazima yawe makubwa mana anafanya hata ambavyo wewe ungeona ni hatari, anakuongezea hali ya kujiamini na ujasiri wa hali ya juu kwenye maisha ya utafutaji...aki nyinyi manzi ya kikenya nimewa-like sana ❤️❤️🌹😋😘
Kwa hapa kwetu ningepata lidada la kisukuma Mrembo baada ya kumuangalia Mheshimiwa Mpina nikaona hata wadada wa kisukuma ni majasiri wanajali familia na hawaogopi chochote Wala kusema ukweli na wako tayari kulinda familia kwa namna yoyote ..wanajiamini na wanachokisimamia..kwahio kwa hapa kwetu mwanamke wa kisukuma anaweza kunivutia ila Hawa wengine mmmh....kuchoshana tu, they are so boring🚮