Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

We zombie kahamie huko wa hao wavuta bangi, na jana mwingine ameuawa tena, km hamu yako ndiyo hiyo utapata unachokitafuta we ngedere
Ngedere mama yako mzazi, na zombi baba yako mzazi. Kafie kwenye my ignored list.
 
wanawake wa Kenya sio wabaya wa maumbo sjui ndo shepu wengi ni wana shepu nzuri ttzo wanawake wa kule wanafukia misosi balaa,

Pili nature ya mazingira yao ni ukame sana inawafanya wapoteze uzuri wa rangi zao hasa kutumia maji chumvi na magadi kwa muda mwingi,

Tatu wanapenda ku battle same na men wakiamini kuwa mwanaume at any time ataweza mpiga chini achukue bibi mrembo kukuliko,

Ila ukipatana na mkenya ako ametoka family standard tuu manzi ya huko, aseeh anakuwa msoup

Afu wana tabia za ubinafsi hasa wakikuyu Hawa hata siwezi pata hisia wasije niharibia nyumba, Kuna Hawa wakamba wanaweza pigana na kuloga wanavunja hata mlango,

ni ndugu zake na secretarybird

Mm nipo hapa kimana naelekea oloitoktok to Tarakea mazee
😂😂😂😂, Ila we jamaa ako na experience na mambo ya Kenya mazee.
 
Back
Top Bottom