😂😂😂Kuna mdau aliandikaga humu JF kwamba "wanawake wakenya ukiwaona unaweza sema ni wanaume wamevaa skirt "
😂
Umfundishe kwanza kiswahili halafu mwambie achagua timu ya mpira huko kwa wanaita timu ya kusakata kabumbuNikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa
Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ...
Yan nataman ningelipata lidada limoja la kikenya mrembo linichangamshe aisee..
Yan madada tena warembo wako mbele ya askari wenye risasi live na hawaogopi risasi kabisa 😍
Naitaji wanawake wa hivyo hata inatokea madili ya pesa ila ya hatari haogopi ananiambia baby twende tukapige pesa don't be a p*ssy ..😍😍 mdada wa hivyo hata kwenye maendeleo yenu lazima yawe makubwa mana anafanya hata ambavyo wewe ungeona ni hatari, anakuongezea hali ya kujiamini na ujasiri wa hali ya juu kwenye maisha ya utafutaji...aki nyinyi manzi ya kikenya nimewa-like sana ❤️❤️🌹😋😘
Kwa hapa kwetu ningepata lidada la kisukuma Mrembo baada ya kumuangalia Mheshimiwa Mpina nikaona hata wadada wa kisukuma ni majasiri wanajali familia na hawaogopi chochote Wala kusema ukweli na wako tayari kulinda familia kwa namna yoyote ..wanajiamini na wanachokisimamia..kwahio kwa hapa kwetu mwanamke wa kisukuma anaweza kunivutia ila Hawa wengine mmmh....kuchoshana tu, they are so boring🚮
Hata akikuzalia watoto wanakuwa brights.Sasa,kaoe lizezeta halafu uje ulalamikie waungwana hapa.Isisemekane sikukuonya kabla.Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa
Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ...
Yan nataman ningelipata lidada limoja la kikenya mrembo linichangamshe aisee..
Yan madada tena warembo wako mbele ya askari wenye risasi live na hawaogopi risasi kabisa 😍
Naitaji wanawake wa hivyo hata inatokea madili ya pesa ila ya hatari haogopi ananiambia baby twende tukapige pesa don't be a p*ssy ..😍😍 mdada wa hivyo hata kwenye maendeleo yenu lazima yawe makubwa mana anafanya hata ambavyo wewe ungeona ni hatari, anakuongezea hali ya kujiamini na ujasiri wa hali ya juu kwenye maisha ya utafutaji...aki nyinyi manzi ya kikenya nimewa-like sana ❤️❤️🌹😋😘
Kwa hapa kwetu ningepata lidada la kisukuma Mrembo baada ya kumuangalia Mheshimiwa Mpina nikaona hata wadada wa kisukuma ni majasiri wanajali familia na hawaogopi chochote Wala kusema ukweli na wako tayari kulinda familia kwa namna yoyote ..wanajiamini na wanachokisimamia..kwahio kwa hapa kwetu mwanamke wa kisukuma anaweza kunivutia ila Hawa wengine mmmh....kuchoshana tu, they are so boring🚮
Aisee aki jameni nitafutie msuoup mmoja huko bwana ...wanawake wa Kenya sio wabaya wa maumbo sjui ndo shepu wengi ni wana shepu nzuri ttzo wanawake wa kule wanafukia misosi balaa,
Pili nature ya mazingira yao ni ukame sana inawafanya wapoteze uzuri wa rangi zao hasa kutumia maji chumvi na magadi kwa muda mwingi,
Tatu wanapenda ku battle same na men wakiamini kuwa mwanaume at any time ataweza mpiga chini achukue bibi mrembo kukuliko,
Ila ukipatana na mkenya ako ametoka family standard tuu manzi ya huko, aseeh anakuwa msoup
Afu wana tabia za ubinafsi hasa wakikuyu Hawa hata siwezi pata hisia wasije niharibia nyumba, Kuna Hawa wakamba wanaweza pigana na kuloga wanavunja hata mlango,
ni ndugu zake na secretarybird
Mm nipo hapa kimana naelekea oloitoktok to Tarakea mazee
Wana akili balaa mkuu..mtoto Mdogo unakuta ana confidence kubwa hata ya kujieleza mbele za watu..sisi huku ndio mana hatuwez hata kukompete kwenye soko la ajira kimataifa ...tunaishia Kaz zetu hizi za michongo ya kupeana kwenye ofisi za umma..kusifu na kuabudu kwa wingiHata akikuzalia watoto wanakuwa brights.Sasa,kaoe lizezeta halafu uje ulalamikie waungwana hapa.Isisemekane sikukuonya kabla.
Hahaha nipo njiani narudi rombo ngoja secretarybird yupo kabisa digo voo mtafutie vachumba vazuri huko 😂 😂Aisee aki jameni nitafutie msuoup mmoja huko bwana ...
Ndiyo maana tunawazidi USA na EU kiuchumi.Wana akili balaa mkuu..mtoto Mdogo unakuta ana confidence kubwa hata ya kujieleza mbele za watu..sisi huku ndio mana hatuwez hata kukompete kwenye soko la ajira kimataifa ...tunaishia Kaz zetu hizi za michongo ya kupeana kwenye ofisi za umma..kusifu na kuabudu kwa wingi
Humuimbii hata wimbo (waliokatika ndimi zao hutamka nyimbo moja)wa Sayuni mkuu?Kila la kheri
Tik Tok waliangalizia jina kwa oloitoktok😄wanawake wa Kenya sio wabaya wa maumbo sjui ndo shepu wengi ni wana shepu nzuri ttzo wanawake wa kule wanafukia misosi balaa,
Pili nature ya mazingira yao ni ukame sana inawafanya wapoteze uzuri wa rangi zao hasa kutumia maji chumvi na magadi kwa muda mwingi,
Tatu wanapenda ku battle same na men wakiamini kuwa mwanaume at any time ataweza mpiga chini achukue bibi mrembo kukuliko,
Ila ukipatana na mkenya ako ametoka family standard tuu manzi ya huko, aseeh anakuwa msoup
Afu wana tabia za ubinafsi hasa wakikuyu Hawa hata siwezi pata hisia wasije niharibia nyumba, Kuna Hawa wakamba wanaweza pigana na kuloga wanavunja hata mlango,
ni ndugu zake na secretarybird
Mm nipo hapa kimana naelekea oloitoktok to Tarakea mazee
Hahaha itakuwa 😂😂Tik Tok waliangalizia jina kwa oloitoktok😄
Siujui mimiHumuimbii hata wimbo (waliokatika ndimi zao hutamka nyimbo moja)wa Sayuni mkuu?
We zombie kahamie huko wa hao wavuta bangi, na jana mwingine ameuawa tena, km hamu yako ndiyo hiyo utapata unachokitafuta we ngedereNikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa