Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

We zombie kahamie huko wa hao wavuta bangi, na jana mwingine ameuawa tena, km hamu yako ndiyo hiyo utapata unachokitafuta we ngedere
Ngedere mama yako mzazi, na zombi baba yako mzazi. Kafie kwenye my ignored list.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Ila we jamaa ako na experience na mambo ya Kenya mazee.
 
Nyuma wabaki, jihadharii na watu Jiji la wambeya hao,

Bongo ina mengi *****, kila kunapokuchwa, mambo mapya tuyazingatie ya kwetu eeh wala tusiwape muda karagosi,

Ziboraah
Nitumie lile goma lake linaloitwa 'baba paroko'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…