uyo si kosa lake kosa ni kuleta urafik wa kijingq urafik wa mwanamke na mwanaume umeiona wap io ni wa mashaka matupu ni mke wangu nshamwambia ajenge urafik na vitoto vile vinatembea uch ila akishavaa bucta sitak mazoeaSasa ni Dada au mna mahusiano? Maana tu hawezi Sema tu hayo maneno, kuna namna unamwonea, na yeye aje ajieleze
Kuna viumbe hawana hiyo guilty ndgu yangu, ukitegemea hiyo utasamehe wengi sana.be a gentleman usimuulize tena hiyo pesa ukikutana naye kuwa normal kama hakijatokea kitu alafu kaaa tulia utaona guilty itakavyomtafuna
Toa neno swahiba 😂Mmh!
Nnalo basi Swahiba. Nimechoka hiyo eti anataka amfanyie umafia. LolToa neno swahiba 😂
Hatari sheikhNajaribu kuimagine hizo mbio ukiwa hostel za wanachuo.. na kama kitambi kipo im sure kila mtu alijua umetoka kufumaniwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
50k inauma aisee hasa nyakati hiziNnalo basi Swahiba. Nimechoka hiyo eti anataka amfanyie umafia. Lol
Mtani hili jukwaa halitakutengulia udhu?,au uchague nyuziNnalo basi Swahiba. Nimechoka hiyo eti anataka amfanyie umafia. Lol
Pole mkuu !!! mwanamke ukimuazima hela ye anachukulia umempa io hela samehe anza moja mm nshajiapizq hata nimkute demu hospital anikope pesa qnunue vidonge simpi ata anioneshe cheki ya bank simpi simpiiiiiiiii
Hahahaa. Lol.Mtani hili jukwaa halitakutengulia udhu?,au uchague nyuzi
angalau dume mtakoromeana kiume na watu wakijq kuamulia kuna usawaHata wanaume. Kukopesha ni kama kamali. Wengi tumeacha kukopesha.
Sina ushahidi, nilimpa tu on hand.Kama una ushahidi mpeleke polisi sheria ikachukue mkondo wake...!
Huu ni ushenziUkimkopa mwanamke hela usitegemee kulipwa hela