Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mimi sina shida, pesa bado Mungu amenipa, ila tatizo ni kwake, hata kupiga simu kwangu nadhani atakuwa anaogpoa na nikienda mkoani kwake akiniona lazima atakimbia, inamtesa hadi imefika nawaza sijui nimwambie awe na amani tu nilimsamehe? lakin naona kama nitamdekeza kwa sababu hana shukrani na hana tabia ya uaminifu asije kutokwua mwaminifu kwa wengine.🤣🤣🤣🤣🤣watu kama nyie mnatapeliwa kirahisi sana..
Kanywa biaa hela yote..