Nimetapeliwa kwenye ndoa ya Kikristo tena na mkristo mwenzangu

Inaonekana mwanzo ulishoboka na pesa za huyo mwamba maana inaonekana wewe ni Binti umeolewa na mtu uliyekuzidi umri mkubwa na hukujiangaisha kufanya tafiti yoyote kuhusu maisha yake ya nyuma ukiangalia mambo ya mbele na pesa zake
 
Liverpool VPN uje masta si anasemaga watu waoe bikra ? Jmaa karuka na bikra mashine mbovu katubu karudi kwa goma lake lenye mashine kinanda... aisee duuuuuh
 
Pole sana Mkuu ilo ni jaribu ivyo yakupasa kulishinda
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ushauri huu ni mzuri sana , mkuu umeitendea haki JF kwa kuwa mchangiaji wa kwanza wa uzi wa huyu dada yetu mhanga wa matapeli ya ndoa kwa kutoa mchango chanya hivyo muhusika atautafakari. lkn pia naungana na wewe, kuhusu dini, asilimia kubwa ya hizi dini tunazojihudhurisha kwazo zinaongozwa na hekima za kibinadamu tu, Mungu hayupo hata kidogo! na ndio maana huwezi kushuhudia matendo makuu ya Kimungu zaidi ya maigizo matupu!
Maisha hayako fair kabisa, watu wema huambulia kuangukia mikononi mwa matapeli ya ndoa, namshauri mleta mada akae pembeni na ajipange upya, alichofanyiwa ni utapeli kama utapeli mwingine, ni doa ambalo limeshaondoa hali ya kuaminiana kbs kitendo ambacho kinaweza pelekea kupata shida za kisaikolojia.
 
Inaonekana mwanzo ulishoboka na pesa na maisha binafsi ya huyo mwamba hukuajali kufanya utafiti Wala maisha ya nyuma
Sasa hapo ili nafsi yako ipone tafuta mchepuko wa kukukeep busy mwamba akiwa Kwa hawala wake
 
Jichunguze wapi umekosea! Huenda kuna vitabia umeanza onyesha jamaa ameanza kukuchoka.. jiangalie wapi umekosea. Vinginevyo utaishi kwa mateso daima
 
Ulipotaka kuoa ulikuja hapa JF kuomba uahauri wa mke wa kuoa?
 
Situlikubaliana ndoa ni utapeli?
 
Yan upate mwanaume ambae anakazi, biashara, pesa, mjengo from nowhere afu eti unatamba nae kua niwako naunaolewa chap.... Ukitaka mume wapekeako anzanae chin akiwa hohehahe
 
Inaonekana mwanzo ulishoboka na pesa na maisha binafsi ya huyo mwamba hukuajali kufanya utafiti Wala maisha ya nyuma
Sasa hapo ili nafsi yako ipone tafuta mchepuko wa kukukeep busy mwamba akiwa Kwa hawala wake
Asije akathubutu kufanya hili kosa la yeye kuchepuka, atakosa vyote, aendelee kumheshimu mumewe na kila anaporudi amshukuru muumba.

Akithubutu kuchepuka amemsaliti Mungu, na ataachwa ataanza kuwa danga. Madanga na mishangazi yote mjini unayoiona imepokea ushauri kama wako.
 
Hapo tayari ashakosa kama mme sio mkweli Wala mwaminifu na Wala hajali hisia za mwenzake hapana mme

Wanaume wengi tunachepuka ila tunajali sana hisia za wenzi wetu wasije na hata wakijua tunafanya kila namna kuponya maumivu tuliyosababisha Kwa situation ya hii story dada afanye mambo yake tu huenda akioneka Hana habari na huyo mwanaume ndo anaweza jirudi
 
Pole ila ogopa kujiingiza kwenye ushindani wakuitafuta furaha kwa kutoka na watu hovyoo!, Inawezekana jamaa hakuwa na malengo na wewe zaidi ya kukupata kimwili tu!!. Way forward ni omba kutano la kifamilia pande zote mbili eleza changamoto zako wazi hapo nae atasema jambo lililomfanya kurudi huko.... Jibu lake ushauri wa familia zote mbili zitakupa pakuanzia na kujua hatma yenu. OGOPA KUWA KIN'GAN'GANIZI kwa mtu, tulimpoteza dada yetu kipenzi mrembo sana kwa jamaa amabaye hakujali hisia za dada yetu, matokeo ya dada kuwa KIN'GAN'GANIZI kwa jamaa ni maambukizi ya HIV na kumtelekeza bila msaada.
 
Usije ukafanya ujinga wa kuacha mume.

Kama ni makosa ni makosa yake, siyo makosa yako. Kwa hiyo usijifeel guilty.

Endelea kusali Mungu akusaidie, lakini usije ukaacha mume kwa sababu hiyo. Kama hajakuacha maana yake anataka bado kuendelea kuishi na wewe.

Anachopitia mumeo ni kipindi cha mpito lakini wewe ndo Malkia wa hiyo nyumba.

Linda mji wako!

By the way sisi wanaume tunapenda wanawake wengi, hivyo ndivyo tulivyo na si mumeo tu. Ndi maana waislamu wanaoa hata wanne!
 
Hii ni ndoa ya kidini, ni unapaswa kushughulikiwa kidini kwanza. Wasilisha suala hili kwa Kiongozi wenu wa kiroho Nina Imani Kuna mengi ya kuwashauri na kuwapatanisha. Wanaume ndio Hawa Hawa na dunia ndio hii hii. Unaweza kuchukua hatua za kukurupuka ukaishia kupata hasara zaidi. Wewe sio wa kwanza kusalitiwa na Wala hautakuwa wa mwisho.

Tafuta watu sahihi, pata mawazo sahihi, fuata mawazo sahihi. Kila jambo linatatulika kutokana na mazingira yake.
 
#Ukitaka kumuona Shetani "live" funga ndoa#

NB: Fanya ibada tu, Omba Toba na rehema kwa ajili yako na ndoa yako
 
Pole, uliingia kwenye ndoa bila wazazi wa pande mbili kukutana, kama walikutana wangebaini hili wakati wa kujitambulisha na kuongelea mahali, viongozi wako wa dini pia hukupata fursa ya kukaa nao.
 
Cocochannel umechapia sana madam
 
NTAKURUDIA NISOME KWA NAFSI POLE.
Ila kwa kifupi elewa hivi mwanaume hajajaliwa kupenda huwa anatamani zaidi lakini pia mwanamke huwa hana utii ila mazingira yanamlazimisha.
Kanisa iliyaona haya na ndo maana huwaapisha viapo kwa kadri inavyofaa.
kihalali kabisa ulipaswa uolewe na mwanaume aliyebikira pia ndiye ambaye alistahili kuwa mume wako lakini huyu yupo aliyemkabidhi ubikira wake na hajui yuko wapi na kila siku anajaribu kumtafuta na utulivu unakuwa zero.
vumilia atatulia ukubwani by the way ni wanawake wachache sana walio olewa na bikira zao ambao hawapati changamoto katika ndoa.
na hapa huna ujanja kwa kuwa agano hufungwa kwa Damu sasa Agano la ndoa analo yeye na yeye agano lake analo mtu mwingine.
ndivyo maisha yalivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…