Ninaandika haya nikihisi huzuni na machafuko. Mimi ni msichana ninayejipenda na kujiheshimu, lakini nimejikuta katika hali iliyojaa maumivu na kutokueleweka. Nimeolewa kwa miaka mitatu, na nilianza ndoa hii nikiwa bikira, nikijivunia ahadi za ndoa za Kikristo. Lakini sasa, nadhani nimeingia kwenye mtego ambao sidhani kama nilikuwa na uwezo wa kuuona mapema.
Ndoa yangu ilianza kwa ahadi za mapenzi ya kweli. Tulikuwa na ndoto za kuunda familia nzuri pamoja na watoto. Tumekuwa na mtoto mmoja, ambaye ni faraja kubwa katika maisha yangu. Hata hivyo, mambo yameanza kubadilika. Nimekuja kugundua kuwa mume wangu si mume wa kwanza. Ana watoto wawili kutoka kwa mwanamke mwingine, na sasa nasikia kila siku anashinda na yule mama, wakati wowote anapoweza.
Hali hii imenifanya nijisikie kama nimeibiwa. Kila wakati anapokuwa na mama watoto, najihisi kama sina thamani yoyote. Ndoa yangu imekuwa na maumivu makubwa, na kila siku inakuwa ngumu zaidi. Sijui ni wapi nianzie. Nimejaribu kuzungumza naye kuhusu hisia zangu, lakini kila mara anakataa kujadili masuala haya kwa uwazi. Nadhani anadhani ni sawa tu kuendelea na maisha yake huku akiniacha nyuma.
Katika tamaduni nyingi, ndoa inachukuliwa kama muungano mtakatifu. Nimejifunza kuwa ndoa ya Kikristo inapaswa kuwa ya uaminifu, upendo, na heshima. Lakini sasa, naona tofauti kubwa kati ya kile nilichokitarajia na kile kinachotokea. Ndoa yangu imekuwa kama kivuli cha kile nilichokuwa nikikitarajia.
Ninaweza kusema kuwa inaonekana kama mume wangu ananifanyia dhihaka. Anaposhinda na mama watoto, najihisi kwamba siko muhimu katika maisha yake. Nafsi yangu inaniambia kuwa sipaswi kukubali hali hii, lakini bado sijui jinsi ya kuondoka kwenye mtego huu. Nimejaribu kumwambia jinsi ninavyojisikia, lakini kila mara ananiambia kuwa ni marafiki wa zamani tu na kwamba si lazima niwe na wasiwasi.
Nashindwa kuelewa ni wapi nilikosea. Nilijitahidi kuwa mke mwema, nikijitolea kwa ajili ya ndoa na familia yetu. Hata hivyo, kila ninaposhuhudia uhusiano wake na yule mama, najihisi kama nimekosea kuchagua. Je, ni kosa langu kuamini kwamba ndoa inapaswa kuwa ya uaminifu?
Ninahitaji ushauri wenu. Nafanya nini katika hali hii? Je, ni busara kuzungumza na mume wangu tena, au ni bora kutafuta msaada kutoka kwa mtu wa tatu kama mshauri wa ndoa? Nimejaribu kujitenga na mawazo mabaya, lakini kila siku inakuwa ngumu zaidi. Naweza kusema kuwa inahitajika kuwa na mazungumzo ya wazi ili kuelewa hali halisi.
Ninajiuliza pia ni vipi nitaweza kuendelea mbele ikiwa hali hii itaendelea. Je, ni njia gani za kutafuta furaha na amani katika maisha yangu? Ndoa yangu imekuwa kama kizuizi, na najihisi kama sina njia ya kutoka. Ni vigumu sana kuishi na mtu ambaye ananifanya nijisikie kama siko katika ndoa halisi.
Nimejaribu kuzingatia watoto wetu na kuwapa upendo na malezi bora. Lakini je, ni kweli kwamba sina budi kuvumilia hali hii kwa ajili yao?
Ninahitaji kujua jinsi ya kujilinda na hisia za huzuni na kukatishwa tamaa. Ninafanya nini ili kujijengea upya na kuweza kuishi kwa furaha?
Ninaomba msaada wenu, mawazo yenu, na ushauri. Hizi ndizo nyakati mbaya zaidi za maisha yangu, na sidhani kama naweza kuendelea hivyo. Nataka kuweza kuimarisha thamani yangu binafsi na kujua ni wapi nitaelekea. Naomba ushauri, ili nione mwanga katika giza hili.
Ninaandika haya nikihisi huzuni na machafuko. Mimi ni msichana ninayejipenda na kujiheshimu, lakini nimejikuta katika hali iliyojaa maumivu na kutokueleweka. Nimeolewa kwa miaka mitatu, na nilianza ndoa hii nikiwa bikira, nikijivunia ahadi za ndoa za Kikristo. Lakini sasa, nadhani nimeingia kwenye mtego ambao sidhani kama nilikuwa na uwezo wa kuuona mapema.
Ndoa yangu ilianza kwa ahadi za mapenzi ya kweli. Tulikuwa na ndoto za kuunda familia nzuri pamoja na watoto. Tumekuwa na mtoto mmoja, ambaye ni faraja kubwa katika maisha yangu. Hata hivyo, mambo yameanza kubadilika. Nimekuja kugundua kuwa mume wangu si mume wa kwanza. Ana watoto wawili kutoka kwa mwanamke mwingine, na sasa nasikia kila siku anashinda na yule mama, wakati wowote anapoweza.
Hali hii imenifanya nijisikie kama nimeibiwa. Kila wakati anapokuwa na mama watoto, najihisi kama sina thamani yoyote. Ndoa yangu imekuwa na maumivu makubwa, na kila siku inakuwa ngumu zaidi. Sijui ni wapi nianzie. Nimejaribu kuzungumza naye kuhusu hisia zangu, lakini kila mara anakataa kujadili masuala haya kwa uwazi. Nadhani anadhani ni sawa tu kuendelea na maisha yake huku akiniacha nyuma.
Katika tamaduni nyingi, ndoa inachukuliwa kama muungano mtakatifu. Nimejifunza kuwa ndoa ya Kikristo inapaswa kuwa ya uaminifu, upendo, na heshima. Lakini sasa, naona tofauti kubwa kati ya kile nilichokitarajia na kile kinachotokea. Ndoa yangu imekuwa kama kivuli cha kile nilichokuwa nikikitarajia.
Ninaweza kusema kuwa inaonekana kama mume wangu ananifanyia dhihaka. Anaposhinda na mama watoto, najihisi kwamba siko muhimu katika maisha yake. Nafsi yangu inaniambia kuwa sipaswi kukubali hali hii, lakini bado sijui jinsi ya kuondoka kwenye mtego huu. Nimejaribu kumwambia jinsi ninavyojisikia, lakini kila mara ananiambia kuwa ni marafiki wa zamani tu na kwamba si lazima niwe na wasiwasi.
Nashindwa kuelewa ni wapi nilikosea. Nilijitahidi kuwa mke mwema, nikijitolea kwa ajili ya ndoa na familia yetu. Hata hivyo, kila ninaposhuhudia uhusiano wake na yule mama, najihisi kama nimekosea kuchagua. Je, ni kosa langu kuamini kwamba ndoa inapaswa kuwa ya uaminifu?
Ninahitaji ushauri wenu. Nafanya nini katika hali hii? Je, ni busara kuzungumza na mume wangu tena, au ni bora kutafuta msaada kutoka kwa mtu wa tatu kama mshauri wa ndoa? Nimejaribu kujitenga na mawazo mabaya, lakini kila siku inakuwa ngumu zaidi. Naweza kusema kuwa inahitajika kuwa na mazungumzo ya wazi ili kuelewa hali halisi.
Ninajiuliza pia ni vipi nitaweza kuendelea mbele ikiwa hali hii itaendelea. Je, ni njia gani za kutafuta furaha na amani katika maisha yangu? Ndoa yangu imekuwa kama kizuizi, na najihisi kama sina njia ya kutoka. Ni vigumu sana kuishi na mtu ambaye ananifanya nijisikie kama siko katika ndoa halisi.
Nimejaribu kuzingatia watoto wetu na kuwapa upendo na malezi bora. Lakini je, ni kweli kwamba sina budi kuvumilia hali hii kwa ajili yao? Ninahitaji kujua jinsi ya kujilinda na hisia za huzuni na kukatishwa tamaa. Ninafanya nini ili kujijengea upya na kuweza kuishi kwa furaha?
Ninaomba msaada wenu, mawazo yenu, na ushauri. Hizi ndizo nyakati mbaya zaidi za maisha yangu, na sidhani kama naweza kuendelea hivyo. Nataka kuweza kuimarisha thamani yangu binafsi na kujua ni wapi nitaelekea. Naomba ushauri, ili nione mwanga katika giza hili.
Niombe nikushauri rafiki yangu, ningekuwa na namba yako ningekupigia nikupe ushauri kwa maelezo, ila hakijaharibika kitu.
Kwanza unapaswa ujipe furaha, raha na amani kwenye maisha yako na mwanao. Mtoto wa mtu asikupe stress ukapata pressure ukakonda ukaumwa weee ukafa ukamuacha mtoto na wazazi wako wanakulilia.
Litoto la mtu lisikupe stress shoga angu, mmekuta vitovu vimekauka kila mtu na tabia yake na mme wako ndio alivyo huwezi kumbadilisha.
Jipe rahaa mwenyewe, na usimfuatilie kabisa, na kama ulivyosema amekutoa bikra yamkini bado huna manjonjo yaan huna maajabu kitandani. Jaribu kumpa maajabu kitandani natamani nikufundishe ili hata akiwa wapi akukumbuke. Wanaume wanakumbukaga mauno na mautundu wanayopewa, unaweza ukajiona mzuri lakini akaenda kwa mtu mwenye sura ngumu, wanaume wanapenda kupewa vituu so ujitafakari kama ndio wewe chanzo hadi akakumbuka masuria yake ya zamani.
Usiwe mtu wa kununa mbele yake, muonyeshe upendo hata kama unamaumivu,
mwanamke ndio anaejenga ndoa na kuvunja usimjibu vibaya hata kama amekosea wewe onyesha utii wa hali ya juu. Hapo yeye mwenyewe ataanza kujiona mjinga yaani anapata kila kitu alaf anafanya ujinga utaona kidogokidogo anarudi mwisho wa siku unaona umeletewa IST mupyaaaa kwa raha zako.
Nataka nikukosoe kwanza, ndoa ya kikristo au kiislam sio chanzo cha kuwa na ndoa njema. Tena unakuta ndoa za Kikristo mwanamke anaogopa kumnogesha mwanaume akihofia ataonekana malaya kumbe sio. Kunogesha kunaimarisha ndoa kwa kweli. SASA UFUTE HILO WAZO LAKO LA KUKEBEHI NDOA YA KIKRISTI tatizo ni mtu mwenyewe sio DINI WALA DHEHEBU. Angalia ni wapi unapo'mess ufanyie kazi ninachokuambia. Mwanamke usiwe na hasira kwa mme wako maana ni sawa na kupigana na ukuta.
Mambo ya kuzingatia kuanzia sasa.
1. Hakikisha kila siku unamkumbusha kwenda anapokwenda, mfano unamwambia, mme wangu leo huendi kuangalia mpira au huendi kutembea, alaf umwambie nataka nikupikie chakula kizuri na umuulize kwa upendo kabisa kuwa utakula hukohuko au utarudi kula, tena kwa tabasamu na ukimaliza umwambie nakupenda alafu mpe busubau denda.
2. Hakikisha hukwepi majukumu yako, siku ambayo mme wako yupo au hajasafiri, hakikisha unapika mwenyewe chakula kitamu, unaweza kugugo mapishi mbalimbali ukajifunza kupika vyakula vitamu romantic maana unaweza kuta hilo limme lako linafuata wali nazi na maharage nazi. Vyakula vinaweza mfanya akawa anakula nyumbani. Hao wanaume wanapenda kula vzr maana wana struggle sana kufanyakazi na kujikuta wanachoka alaf wakija nyumban chakula hakina mvuto wala radha. Hakikisha unafua mwenyewe nguo za mme wako na unafanya usafi mwenyewe chumba chako, yaan usimruhusu mtu akusaidie majuku yako labda uwe unaumwa ndio usaidiwe tena na mme anaejielewa.
3. Kitu kingine cha kuzingatia, uwe msafi wa mwili hadi kwenye bikini jaman, jamani wanaume wanapenda vitu visafi vinavyonukiwa, so tafuta body oil, serum yako ya ukweli, mafuta yako ya uso na uwe unavaa vizuri acha kuvaa midela
siipendi jamani vaa nguo zinazoonyesha shape yako, wanaume hawapendi madela umenisikia. Tengeneza nywele zako ziwe safi, sio unasuka unakaa mwezi hujafumua au kila ukifumua unasuka mtindo huohuo. Angalia mavazi ambayo mme wako anapenda jaman shoga angu alafu usiache kuvaa high heel maana inaleta mvuto hata kama huna suraa na uwe na cat walk ya ukweli.
Hata kama ni mama wa nyumba jiweke safi muda wote hata akikuona unaenda dukani aone wivu shoga angu
4. Kitu muhimu, mwanamke wa kwanza kuamka na wa mwisho kulala hata kama kuna mfanyakazi, yaani ukishampa cha asbh ww uamke ukamuandalie kitu cha kumpa nguvu kama ni juice au breakfast heavy, na usiache kumpa matunda hata kama anaenda kazini.
5. Moyo wa mwanaume upo kwa mama yake shoga yangu, mpende mama yake hadi ashangae hilo libaba, mpe zawadi, mpe kila kitu anachostahili na ukienda kwa wake uingie jikoni uwe huru kama ulivyokuwa huru na wazazi wako shoga yangu. Penda ndugu zake hata kama ni viburi wengine wewe wapuuzie maana yeye anawajua ndugu zake kuliko wewe utashangaa anaanza kukuambia sijui fulani ananifanyia hivi wewe umshauri kuwa wasamehe hao ni ndugu zako hapo ndio atazidi kukuina wa ajabu
6. Usiwe mtu wa mikopo mikopo mara kausha damu mara sijui pride, mara finca, mara vicoba kama unavyo upambane navyo mwenyewe na mme wako asijue chochote na piga marufuku rafiki zako wa ajabu ajabu maana anaweza pima akili yako kupitia shoga zako. Unakuta jitu mcharuko mwajuma ndala ndefu haoni ndani, so kuwa selective sana kwa upande wa marafiki, wanaume wanapenda wake zao wawe na marafiki smart kichwani yaan kwa mwonekano hata wa ndani na nje na hasa waojituma na kujielewa maana wanajua wake zao nao watajifunza vitu kutoka kwao. Zingatia sana haya shoga yangu.
7. Mwisho, wakarimu vizuri rafiki ay wageni wa mme wako hao ndio watakuwa wanakanya mme wako, onyesha upendo kwao usiache kabisa wakija hata nyumba au mgeni yoyote mpe chai au juice hata kama wakija mmekula na chakula kimeisha ingia jikoni upike chakula kizuri wajiramberambe.
8. Epuka mazoea na majirani na kuwa na marafiki wengi, rafiki yako mkubwa mmeo ndio awe mbea mwezako, story zako za kimbea ongea na mme wako ukiwa umeshikilia microphone jaman uwiiiih.
9. Usiache kumnunulia mme wako boxers na vest, usikubalia anunue mwenyewe, ww ndio unajua size ya mme wako na size ya dyudyu sio unanua boxer inaenda kumbana dyudyu hadi anapata rushes ndani. Hakikisha anakuwa safi huko unakonyonyaga yaan kila siku avae boxer safi na vest safi. Usikubali arudie hata soxs. Ukiweza kujua nguo anazopenda mnunulie kwa hela yako plz tena hapa uache wivu mbona yeye huwa anakununulia sanaa, mnunulie hivyo ninavyosema hasa boxer ndio muhimu na vest plus sox.
Mwisho, acha kukosoa ndoa za kikristo, tatizo ni wewe au yeye, ndo yoyote inaweza kuwa na changamoto bila kuja dini wala dhehebu. Hata viongozi wadini nao wana changamoto yamkini kuliko hata ya kwako.
Wewe zingatia haya kwa wiki moja tu inatosha utakuja kunishukuru, na akienda huko kwa suria wake, umuulize kabisa nakupikia mme wangu utakuja kula au utakula hukohuko, na kama ana lalaga muulize kabisa unarudi au unalala alafu umalizie na busu na kusema nakupenda mme wangu.
Punguza gubu na kuongea sanaaa, maneno yako elf tano yamalizie kwa mama yako jiunge kifurushi cha mwezi ongea hadi yaishe wanaume hawapendi maneno mengi yaani anaweza akawa anaenda huko anakwepa mdomo wako.
Wanaume ni kama watoto so cheza tu na akili zao utaona mwenyewe anaingia line hadi watu watahisi umemroga kumbe ni wewe ubunifu wako.
Jitume kitandani nasisitiza, style ziko nyingi sana kuwa mbunifu sex is an art (sanaa) kuwa mbunifu, sio kila siku sex kitandani tu na style yenu moja au mbili. Ingieni hata bafuni kushikilie ukuta ukabong'oe huko mpe mauno yakutosha hadi akuone mtamu kuliko wewe. Smtms wanaume wanaenda nje wanatafuta faraja ya mioyo yao na si sex. Kuwa mbunifu wewe ndio unaejenga ndoa na kubomoa na si mwanaume.
Alaf, usiumie wanaume wako kibao, Dildo zipo kama anahudumia wewe hata usimtie akilini ila zingatia hayo kama ni wa kubadilika utakuja kunishukuru uje na zawadi kabisa nimekupa madini ya ndani.
Asbh njema, ngoja nifanye kazi ya mwajiri. Kama kuna mwanaume/mbaba anachangamoto nakukaribisha tuongee tupige stroy 🤪😜