Nimetapeliwa laki 4 Instagram na mtu aliyedai kuwa yeye ni muuza simu anaepatikana Pemba chake chake

Nimetapeliwa laki 4 Instagram na mtu aliyedai kuwa yeye ni muuza simu anaepatikana Pemba chake chake

Eddy_

New Member
Joined
Dec 15, 2024
Posts
1
Reaction score
16
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
 
Siku nyingine ukiona mtu anauza Vifaa vya umeme na yuko Pemba jua ni tapeli yuko zake Dar au mahali anaku zoom tu.

Ukiona mtu anakuambia store iko chanika au pembezoni mwa mji.. mara nyingi anataja eneo ambao anajua utaona uvivu kufika jua ni tapeli.. Na huwa wanaanza na mitego kukuuliza we uko wapi tukuletee. Hapa utajichanganya kusema ulipo sasa yeye anakwepesha na hapo na anataja mbali sana
 
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Huyo mwamba ni noma,huyo jamaa yupo Dar na ana account kwenye kila social media,FB,jiji,instagram huyo mwamba never come across na bei zake Zinakuita cjui. Wanatumia uchawi maana wanapata watu sana sio bure huyo mwamba ukikatiza wameibeba
 
Back
Top Bottom