Nimetapeliwa laki 4 Instagram na mtu aliyedai kuwa yeye ni muuza simu anaepatikana Pemba chake chake

Nimetapeliwa laki 4 Instagram na mtu aliyedai kuwa yeye ni muuza simu anaepatikana Pemba chake chake

Huyo mwamba ni noma,huyo jamaa yupo Dar na ana account kwenye kila social media,FB,jiji,instagram huyo mwamba never come across na bei zake Zinakuita cjui. Wanatumia uchawi maana wanapata watu sana sio bure huyo mwamba ukikatiza wameibeba
Nishawahi kumuona anauza baskeli za umeme zile za milioni na kitu yeye anauza laki nne🤣
 
Siku nyingine ukiona mtu anauza Vifaa vya umeme na yuko Pemba jua ni tapeli yuko zake Dar au mahali anaku zoom tu.

Ukiona mtu anakuambia store iko chanika au pembezoni mwa mji.. mara nyingi anataja eneo ambao anajua utaona uvivu kufika jua ni tapeli.. Na huwa wanaanza na mitego kukuuliza we uko wapi tukuletee. Hapa utajichanganya kusema ulipo sasa yeye anakwepesha na hapo na anataja mbali sana
Kuna mmoja alikuwa anauza kuku pamoja na miti ya matunda, kumbe ni tapeli. Tena mdada na mume wake ni mchungaji.
Nikamtumia hela aniletee, akaanza viswahili,ohh kina oda kubwa utaketewa asubuhi
Siku 2 zimepita hola. Ikabidi nite taarifa kwa wazee wa cyber. Halafu alivyokuwa anatapeli kijinga, katumia line yake kupokea hela. Wakatrace simu hadi kwake. Akapigiwa akawa hapokei, wakampigia mume wake alasema sijui kasafiri.
Aliambiwa tu, salama yako urudishe hela pamoja na usumbufu. Alilipa ,chezea hela ya mpare. Siku hizi naona sijui kaifuta ile account.
Watapeli wapo ila waaminifu wako wengu tu. Nimeshanunua vitu vingi online na ni mara moja tu nimetapeliwa. Ila azililipa.
 
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
goli likishafungwa ndo imeisha hiyo!!
 
Mimi ukinipa laki mbili nakuhakikishia nakuletea mwizi wako hadi nyumbani njoo PM🥲🥲
 
Why did you send money to someone you never met with physically??
Indeed, Yaani Watanganyika sisi ni slow learner sana. Tuko kama konokono.
Mtu mpaka anapata fursa ya kuingia jamii forums ujue anapitia pitia kwenye mitandao mingine na anaona kila siku watu wanavyotapeliwa mitandaoni. Sasa inakuaje unarepeat the same same mistake?

Unamtumiaje hela mtu humjui. Mimi sijui ni mshamba au nimezeeka naona siezi huo utoto...
 
Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?
Nimependa hili andiko, Ni Mathayo 6:26,
 
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Mim walinitapeli 2021 huyo hyo Zanzibar chakechake laki tatu na 40.
Badae likaniblock, alafu linaongea kipemba kabisa kipindi hicho linajiita Zanzibar electronics og
 
hizo ishu ni nyingi sana, Huyo mtu kwa uhakika yupo hapa hapa Dar. Kwenye suala la kununua mtandaoni linataka umakini sana, Kikubwa kwanza ni bei the more unavyoona kitu ni rahisi ujue unakaribia kupigwa.
 
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
POLE SANA ,KUNA IPHONE 16 YA LAKI NNE JAMANI? YAANI MTU KAFUNGA COMMENT ALAFU UNALIPA HELA?

WALE UKITAKA UWAJUE WAAMBIE MI PIA NPO PEMBA WANAKUBLOCK AU KUKUPOTEZEA .
 
Attachments

  • ZANZIBAR PHONE.jpg
    ZANZIBAR PHONE.jpg
    63 KB · Views: 3
  • ZANZIBAR 2.jpg
    ZANZIBAR 2.jpg
    56.3 KB · Views: 3
POLE SANA ,KUNA IPHONE 16 YA LAKI NNE JAMANI? YAANI MTU KAFUNGA COMMENT ALAFU UNALIPA HELA?

WALE UKITAKA UWAJUE WAAMBIE MI PIA NPO PEMBA WANAKUBLOCK AU KUKUPOTEZEA .
Hio hela imeenda
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Hio hela imeenda ,

Ubaya vyombo vya dola havijaamua kumaliza mnyororo wa utapeli ,hizo namba za simu wanazopokea hela ingekuwa vizuri wawakamate ni suala dogo sana
 
Mkuu kumbe umemzoom isitoshe alikuwa najifanya mjuaji kweli kweli kwa kutumia id yake ya mwanzo ila sasa yamemkuta anaogopa kutumia id yake iliozoeleka akihofia kuchekwa🤣🤣
Jamaa wakitoa Elimu wasitapeliwe wanakuja na kejeli wakishatapeliwa wanakuja na Id mpya angesaidiwa kama angekuja na ile id yake ya mwanzo..
 
Back
Top Bottom