Nimetapeliwa laki 4 Instagram na mtu aliyedai kuwa yeye ni muuza simu anaepatikana Pemba chake chake

Nimetapeliwa laki 4 Instagram na mtu aliyedai kuwa yeye ni muuza simu anaepatikana Pemba chake chake

Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Kwani hapa ni Instagram?
 
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Hao wabara wanaowadanganya wanauza vitu wako zenj, wewe mwambie kuwa uko zenj unataka uende ofisini kwake basi ataacha jibu hata sms zako.
 
Siku nyingine ukiona mtu anauza Vifaa vya umeme na yuko Pemba jua ni tapeli yuko zake Dar au mahali anaku zoom tu.

Ukiona mtu anakuambia store iko chanika au pembezoni mwa mji.. mara nyingi anataja eneo ambao anajua utaona uvivu kufika jua ni tapeli.. Na huwa wanaanza na mitego kukuuliza we uko wapi tukuletee. Hapa utajichanganya kusema ulipo sasa yeye anakwepesha na hapo na anataja mbali sana
Na ukimuambia upo
Maeneo yake hutomsikia au kuna ndugu yako afate
 
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Simu zimejaa kariakoo, mlimani city, mwenge ww unakwenda kununua chakechake Pemba!?
Kweli kupanga ni kuchagua
 
Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Kwenye maduka hukujui?, mnapenda kitonga mno, hao jamaa wameweka Simu, Tv's huko Mtandaoni na vifaa vingine, wakidai wapo huko Pemba, wanawapiga kweli watu...pole sana.
 
🤣
Pemba Kuna wauza simu online?
Unatakiwa kuweka makubaliano kwamba atume mzigo ndio umlipe akikataa hapo unaagana nae
Mimi kuna yule Barke wa Darajani Zanzibar wanasema ni trustworth but sikushawishika kutanguliza pesa só why nilimwambia tufanye "pay on delivery" akachomoa boas. ...
 
Mimi kuna yule Barke wa Darajani Zanzibar wanasema ni trustworth but sikushawishika kutanguliza pesa só why nilimwambia tufanye "pay on delivery" akachomoa boas. ...
Akichomoa mnaishia hapo. Wapo wanaokubali. Anatuma mzigo unafika kwa yule mtumiwa yaani agent unaenda kuangalia Kama ndio ule ukiridhia unalipa mambo yanaishia hapo
 
Mkitapeliwa mnakuja na ID mpya mpya jamaa wakiwa wanatoa taarifa za utapeli mnabaki kutukana ukishatapeliwa ndio basi tena hata ukiwa na ushahidi mkubwa kama Meli wahuni ndio washapotea hivyo..
Mkuu kumbe umemzoom isitoshe alikuwa najifanya mjuaji kweli kweli kwa kutumia id yake ya mwanzo ila sasa yamemkuta anaogopa kutumia id yake iliozoeleka akihofia kuchekwa🤣🤣
 
When the deal is too good then you are the deal.
 
Back
Top Bottom