Yes hiyo ndio pay on delivery mzeeAkichomoa mnaishia hapo. Wapo wanaokubali. Anatuma mzigo unafika kwa yule mtumiwa yaani agent unaenda kuangalia Kama ndio ule ukiridhia unalipa mambo yanaishia hapo
Kama hafanyi pay on delivery toka nduki!!!!Kuna mwamba anaitwa MFALME WETU ni mwamba kweli kweli hana makuu wala nini mnafanya biashara bila longo longo
Nishawahi kumuona anauza baskeli za umeme zile za milioni na kitu yeye anauza laki nne🤣Huyo mwamba ni noma,huyo jamaa yupo Dar na ana account kwenye kila social media,FB,jiji,instagram huyo mwamba never come across na bei zake Zinakuita cjui. Wanatumia uchawi maana wanapata watu sana sio bure huyo mwamba ukikatiza wameibeba
Hili neno nimekumbuka mbalindata
Kuna mmoja alikuwa anauza kuku pamoja na miti ya matunda, kumbe ni tapeli. Tena mdada na mume wake ni mchungaji.Siku nyingine ukiona mtu anauza Vifaa vya umeme na yuko Pemba jua ni tapeli yuko zake Dar au mahali anaku zoom tu.
Ukiona mtu anakuambia store iko chanika au pembezoni mwa mji.. mara nyingi anataja eneo ambao anajua utaona uvivu kufika jua ni tapeli.. Na huwa wanaanza na mitego kukuuliza we uko wapi tukuletee. Hapa utajichanganya kusema ulipo sasa yeye anakwepesha na hapo na anataja mbali sana
goli likishafungwa ndo imeisha hiyo!!Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
🤣🤣🤣🤣 Umenistua mkuuKama hafanyi pay on delivery toka nduki!!!!
Kulikuwa na waaminifu sana humi JF mwisho wa siku wakasepa na kijiji
Indeed, Yaani Watanganyika sisi ni slow learner sana. Tuko kama konokono.Why did you send money to someone you never met with physically??
Nimependa hili andiko, Ni Mathayo 6:26,Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?
Jamaa amtumie fifty tu laki 4 yake inarudi chapHili neno nimekumbuka mbali
🤣🤣🤣
Mim walinitapeli 2021 huyo hyo Zanzibar chakechake laki tatu na 40.Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
POLE SANA ,KUNA IPHONE 16 YA LAKI NNE JAMANI? YAANI MTU KAFUNGA COMMENT ALAFU UNALIPA HELA?Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Hio hela imeendaPOLE SANA ,KUNA IPHONE 16 YA LAKI NNE JAMANI? YAANI MTU KAFUNGA COMMENT ALAFU UNALIPA HELA?
WALE UKITAKA UWAJUE WAAMBIE MI PIA NPO PEMBA WANAKUBLOCK AU KUKUPOTEZEA .
Hio hela imeenda ,Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
Jamaa wakitoa Elimu wasitapeliwe wanakuja na kejeli wakishatapeliwa wanakuja na Id mpya angesaidiwa kama angekuja na ile id yake ya mwanzo..Mkuu kumbe umemzoom isitoshe alikuwa najifanya mjuaji kweli kweli kwa kutumia id yake ya mwanzo ila sasa yamemkuta anaogopa kutumia id yake iliozoeleka akihofia kuchekwa🤣🤣