Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Nilipotoka tu, nikavamia K-Vant kubwaaaaaaaa.
Kabla sijaimaliza, akapita muuza mkaa "simnajua gesi imepanda bei..!!"
Basi kwa mbwebwe kibwena nikamuagiza apeleke kwa nyumba na pesa nikamlipa kabisa kwa jinsi alivyojua kuujaza hadi kisunzu...😜😜
Sijakaa muda waifu kapiga simu kusema asante baba watoto, asante mume wangu, asante kwa kujali na kadhalika zote mnazozijua wababa.
Sasa haya ndio yalonikuta, muuza mkaa ameniharibia upendo kabisa wa leo. Na sijui kama wiki hii nitapewa...😶😑