Nimetathimini Kazi Nzuri alizofanya Rais Hussein Mwinyi Ndani ya Zanzibar, kiukweli kabisa ashukuriwe

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko.

Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia.

Ndani ya miaka mitano ya utawala wa Dr Hussein Mwinyi, Barabara za Zanzibar hasa za mjini zimeng' aa mitaa imeongezeka thamani.

Barabara kuu ya Uwanja wa Ndege to Mnazi Mmoja, Kutoka kwa Mchina Mwanzo hadi Mwanakwerekwe kuelekea Bububu na zote zinazokatiza mtaa kwa mtaa ikiwemo ile ye Jang'ombe ni njia ambazo zimesumbua kwa muda mrefu sana.

Mabondeni kote kule amani, kilimani, mwanakwerekwe na fuoni ambapo wananchi walikuwa wakisumbuka na mafuriko na mitaro kujaa imejengwa mitaro ya kisasa inayohakikisha maji yanafanya mkondo wake na Wananchi kubaki salama na majumba yao wakati woote na misimu yoote.

Jambo hili limenifurahisha sana.
 
Dr Hussein Mwinyi ameonesha mfano wa utawala bora unaojali maendeleo na ustawi wa jamii
 
Guvu la Nyika la Tanga hilo usitichuuzee!
 
Back
Top Bottom