fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
kaolewa na mkulunguBaby kabae yu wapi huyu dada ?
kaolewa na mkulunguBaby kabae yu wapi huyu dada ?
Habari ya maumivu kabisa hii kwangu .kaolewa na mkulungu
Azam imechukua watangazaji 2 hapoMuda wa kusikiliza radio zenye watangazaji vilaza kama hao hatuna Kwa kweli, Huwa nasikiliza kipindi cha michezo cha EATV radio saa 1 mpaka saa 3 usiku,angalau kidogo unapata taste ya watangazaji na sio waropokaji