Nimetazama mahojiano ya B12 na Adam nikagundua hali mbaya kifedha kwenye media pamoja na majuto

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Kwangu mimi ni mahojiano bora sana kuwahi kufanyika. Jamaa wameongea mengi bila chenga chenga. Wamefunguka sana. Mimi nilichogundua ni kuwa hali ya kifedha (mishahara) kwenye media houses ikiwemo Clouds sio nzuri. Kuna tatizo kwenye malipo. Mishahara ni midogo.

Adam kasema mishahara yao iliongezwa baada ya B12 kuhamia EFM na hilo ongezeko lilifuatia shinikizo la Adam kuwa naye atahama. Mbaya zaidi waliopata ongezeko walikuwa ni baadhi yao na sio wote.

Kingine ni majuto hasa kwa upande wa Adam. Hii ni kwa sababu ya lawama kutoka kwa watu mbalimbali kudai alitumika kuzima ndoto zao. Lakini cha kushangaza yeye kifedha bado yuko nyuma huku wasanii wengi wakitajirika wakiwemo wanaomlaumu.

Kimsingi hawa jamaa wametumika sana kwenye vita za Ruge na maadui zake.

View: https://youtu.be/2r3u32R7SIk?si=sV4NEyfBIT5AnHFD
 
Kwangu mimi ni mahojiano bora sana kuwahi kufanyika. Jamaa wameongea mengi bila chenga chenga. Wamefunguka sana. Mimi nilichogundua ni kuwa hali ya kifedha (mishahara) kwenye media houses ikiwemo Clouds sio nzuri. Kuna tatizo kwenye malipo. Mishahara ni midogo. Adam kasema mishahara yao iliongezwa baada ya B12 kuhamia EFM na hilo ongezeko lilifuatia shinikizo la Adam kuwa naye atahama. Mbaya zaidi waliopata ongezeko walikuwa ni baadhi yao na sio wote.

Kingine ni majuto hasa kwa upande wa Adam. Hii ni kwa sababu ya lawama kutoka kwa watu mbalimbali kudai alitumika kuzima ndoto zao. Lakini cha kushangaza yeye kifedha bado yuko nyuma huku wasanii wengi wakitajirika wakiwemo wanaomlaumu.

Kimsingi hawa jamaa wametumika sana kwenye vita za Ruge na maadui zake.

View: https://youtu.be/2r3u32R7SIk?si=sV4NEyfBIT5AnHFD

Mtajuana wwenyewe
 
Kwangu mimi ni mahojiano bora sana kuwahi kufanyika. Jamaa wameongea mengi bila chenga chenga. Wamefunguka sana. Mimi nilichogundua ni kuwa hali ya kifedha (mishahara) kwenye media houses ikiwemo Clouds sio nzuri. Kuna tatizo kwenye malipo. Mishahara ni midogo.

Adam kasema mishahara yao iliongezwa baada ya B12 kuhamia EFM na hilo ongezeko lilifuatia shinikizo la Adam kuwa naye atahama. Mbaya zaidi waliopata ongezeko walikuwa ni baadhi yao na sio wote.

Kingine ni majuto hasa kwa upande wa Adam. Hii ni kwa sababu ya lawama kutoka kwa watu mbalimbali kudai alitumika kuzima ndoto zao. Lakini cha kushangaza yeye kifedha bado yuko nyuma huku wasanii wengi wakitajirika wakiwemo wanaomlaumu.

Kimsingi hawa jamaa wametumika sana kwenye vita za Ruge na maadui zake.

View: https://youtu.be/2r3u32R7SIk?si=sV4NEyfBIT5AnHFD

ku monetize skills na talent za vijana wengi Tanzania ni changamoto sana.
mwaka jana nilifungua content creation and influencing house baada ya kuona nina vijana wengi ambao nawa mentor wakiwa wako so addicted na social media ila hakuna hela wanapata out of it. Nikafanya hivyo and saivi kiukweli hata wao wananishukuru.

wao walikuja na skills zao na talent, mimi nikafanya tu proper coordination and management, pesa hizi hapa.
 
Kwangu mimi ni mahojiano bora sana kuwahi kufanyika. Jamaa wameongea mengi bila chenga chenga. Wamefunguka sana. Mimi nilichogundua ni kuwa hali ya kifedha (mishahara) kwenye media houses ikiwemo Clouds sio nzuri. Kuna tatizo kwenye malipo. Mishahara ni midogo.

Adam kasema mishahara yao iliongezwa baada ya B12 kuhamia EFM na hilo ongezeko lilifuatia shinikizo la Adam kuwa naye atahama. Mbaya zaidi waliopata ongezeko walikuwa ni baadhi yao na sio wote.

Kingine ni majuto hasa kwa upande wa Adam. Hii ni kwa sababu ya lawama kutoka kwa watu mbalimbali kudai alitumika kuzima ndoto zao. Lakini cha kushangaza yeye kifedha bado yuko nyuma huku wasanii wengi wakitajirika wakiwemo wanaomlaumu.

Kimsingi hawa jamaa wametumika sana kwenye vita za Ruge na maadui zake.

View: https://youtu.be/2r3u32R7SIk?si=sV4NEyfBIT5AnHFD

Bado wako clouds au wameshatokomea?
 
Kimsingi Traditional media zimekufa.

Kussaga, Mondi, Majizzo wanasifiwa kila Kona wakati media na watumishi wao wapo hoi. Sembuse hata wao wapo hoi pia.
 
Sina uhakika ila kutokana na kilio chao inaonekana ni kama vile hawakujiwekeza.
Ilikua ili ngoma yako ipigwe ama itambulishwe si chini ya laki saba, enzi hizo nilikua moja kati ya watuma salam wa kwenye radio kwa njia ya message, wasanii walikuwa wanatulipa ili tuchague nyimbo zao kwenye vipindi vya mchana.
 
Millard nidhamu imemsaidia sana... alitumia umaarufu kujenga brand na heshima, akaminika na ametengeneza pesa nyingi sana sana.
 
Kwangu mimi ni mahojiano bora sana kuwahi kufanyika. Jamaa wameongea mengi bila chenga chenga. Wamefunguka sana. Mimi nilichogundua ni kuwa hali ya kifedha (mishahara) kwenye media houses ikiwemo Clouds sio nzuri. Kuna tatizo kwenye malipo. Mishahara ni midogo.

Adam kasema mishahara yao iliongezwa baada ya B12 kuhamia EFM na hilo ongezeko lilifuatia shinikizo la Adam kuwa naye atahama. Mbaya zaidi waliopata ongezeko walikuwa ni baadhi yao na sio wote.

Kingine ni majuto hasa kwa upande wa Adam. Hii ni kwa sababu ya lawama kutoka kwa watu mbalimbali kudai alitumika kuzima ndoto zao. Lakini cha kushangaza yeye kifedha bado yuko nyuma huku wasanii wengi wakitajirika wakiwemo wanaomlaumu.

Kimsingi hawa jamaa wametumika sana kwenye vita za Ruge na maadui zake.

View: https://youtu.be/2r3u32R7SIk?si=sV4NEyfBIT5AnHFD

Watajuana siwajui wala sijawahi wasikiliza... Na hata huko dar sijawahi fika
 
Ilikua ili ngoma yako ipigwe ama itambulishwe si chini ya laki saba, enzi hizo nilikua moja kati ya watuma salam wa kwenye radio kwa njia ya message, wasanii walikuwa wanatulipa ili tuchague nyimbo zao kwenye vipindi vya mchana.
Sio mchezo. Mwaka 2004 kuna msanii niliona anatafuta laki 8 akalipe mtangazaji ili apate promo.
 
Back
Top Bottom