Nimetembea mikoa mingi Tanzania nimegundua kuwa Dodoma kuna nyoka wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania

Mkuu unapajua hadi huko farm 17 ...
Daaah tumepita huko kipindi nipo jkt pale
 
Dodoma ipi me nimekulia na kusomea dodoma ila hao nyoka nimekutana nao mara chache sana pia tuna mashamba kuanzia veyula,mzakwe,zanka na mayamaya kipindi cha kilimo muda mwingi huwa tunakuwa huko lakini ni mara chache sana utakutana na nyoka
Tunatafuta shamba maeneo hayo huna connection?
 
sasa kama inajulikana wazungu ndo waliowaleta ao nyoka kwanini adi leo hatujawashtaki walipe fidia au waondoe ao nyoka?
 
sasa kama inajulikana wazungu ndo waliowaleta ao nyoka kwanini adi leo hatujawashtaki walipe fidia au waondoe ao nyoka?
Hakuna Mkataba (makubaliano yenye nguvu ya Kisheria) uliowekwa. Hiyo bro, tuhesabu tu "Imekula kwetu" bwashee.
 
Dodoma hadi singida ni semi desert naturaly, so yes lazima ukitane na viumbe vya mazingira hayo
 
Bado haijafikia Nachingwea.......
Nimekaa Nachingwea miaka 16, sijawahi kusikia baadhi ya aina nyoka aliowata mtoa mada.
Nachingwea sijasikia kuonekana koboko
Nyoka kijiti.
Nachingwea, nyoka wengi ni aina ya kifutu, ambao inasemekana walipandwa na wakulima wa karanga, nyoka wa aina nyingine wapo ila siyo wengi.
 
Kondoa wanakaaa warangi kwa asili Sio watu wachacharikaji sana hawapo aggressive kwenye aspects za kimaisha, huwezi Kuta Mrangi kafanya Wonders katika jambo flan na hawana ushawishi wowote kisiasa waliofanya maajabu sana ni dogo janja na Juma Nkamia
Dogo janja ni wa huko?
 
Dodoma hakuna nyoka wengi, Cobra wako Kigoma, Dodoma kuna chatu wadogo wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…