Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Mkuu unapajua hadi huko farm 17 ...Huko Nachingwea nadhani kunaweza kuwa kunaongoza kwa Nyoka hapa Nchini.
Wale Nyoka wengi waliletwa na Wakoloni kipindi wanaendesha shughuli za kilimo kwenye yale mashamba yao ya kuanzia farm 1 hadi farm 17 ili kudhibiti panya na wadudu wengine waharibifu wa mazao.
Baada ya Wakoloni kuondoka waliacha wale Nyoka wamezaliana kupita kiasi na kuwatelekeza huko maporini.
Daaah tumepita huko kipindi nipo jkt pale