Nimetembea mikoa mingi Tanzania nimegundua kuwa Dodoma kuna nyoka wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania

Kuna nyoka walikua wanapaa angani huko Songea au Mbeya.
walikua wanagonga utosi tu shughuli inaisha
waliuliwa kwa mbinu ya watu kutembea na chungu cha uji wa moto.
 
Dodoma sana sana Kongwa Kuna Nyoka wengi sana..
Hii ilitokana na Wakoloni wa enzi hizo kipindi cha Groundnuts Scheme kama una kumbuka ilikuwa Dodoma Kongwa..

Na kMa unajua Dodoma Pia inaongoza kwa Samaki mchanga(Panya) wengi sana hivyo walikuwa wakila sana karanga za Mkoloni..
Mkoloni kuona Hivyo akaona Sio Tabu akaintroduxe predator of The Ecosystem ambaye ni Nyoka...

So hapo ndo kulikuwa na Ongezeko kubwa la nyoka kuliko Mikoa Mingi kwa sababu Nyoka walizaliana na kuongezeka kutokana na kupata kitoweo kizuri cha Panya...
 
Nini sababu?
 
Nyoka wapo huko Vijijini sio mjini acha upuuzi wako
 
Sikupingi hata kidogo.Mimi niliwahi kwenda Mpwapwa kwa ajili ya field practices za mambo ya upimaji ardhi.Tulikuwa tunafanyia maporini huko kwenye mibuyu kibao.Aisee nilikumbana na nyoka wa kila aina ya rangi.
Sasa porini kunakosekanaje nyoka?
 
Ni vyema kuchukua tahadhari
 
Ni vyema kuchukua ta
Sikupingi hata kidogo.Mimi niliwahi kwenda Mpwapwa kwa ajili ya field practices za mambo ya upimaji ardhi.Tulikuwa tunafanyia maporini huko kwenye mibuyu kibao.Aisee nilikumbana na nyoka wa kila aina ya rangi.
Hukugongwa na hata mmoja
 
ulikua unatembea maporini?
 
Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)
Niambie Sehemu gani hapo niende nikatalii kwanza nawaonaga hawa nyoka kwenye TV 2 ila tiba za sumu zao zipo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…