Nimetembea mikoa mingi Tanzania nimegundua kuwa Dodoma kuna nyoka wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania

Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.

Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.

Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.

Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)

THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
Dar kuna nyoka wa kibisa.
 
Nimepitia uzi pg#1...#6 na nimefurahishwa na jinsi wadau wanavyo mmiminia sifa na vitisho kedekede mnyama nyoka. Lakini kiukweli nyoka ni mnyama mmoja yupo poa sana na ni kati ya wanyama wenye asili ya uoga mkubwa- hapendi kuonekana i.e. anajificha sana. Anao maadui wengi ndege, nguchiro n.k. lakini adui mmojawapo aliye hatari zaidi kwake ni binadamu. Nyoka humng'ata binadamu pale inapokuwa huyo nyoka hana namna nyingine tena ya kujitetea e.g. kuingia shimoni, kupanda kwenye mti mrefu au kukimbia. Kumbuka na zingatia... A snake does not bite for fun - never. Kwa mantiki hiyo, ni sisi binadamu tunamchokoza, Kumshambulia au kumjeruhi au kuwasha moto eneo ambalo ni maskani yake ndo tunapata malipo hayo ya kung'atwa. Ukimkanyaga, ukimpiga e.g. mtu anayefyeka pori au kukata miti yeye nyoka hajui eti ni kwa bahati mbaya hujakusudia au kumlenga yeye. You will get cash payments on the spot. Tena ujue e.g. puff adder ni maarufu kwa fast and accurate striker na sumu yake ni Mycotoxin - misuli itaanza kuoza kadri sumu inavyoendelea. Ila aisee nyama ya nyoka ni tamu na ni very nutritious - inanoga sana kuliko samaki.
 
Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.

Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.

Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.

Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)

THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
 
Attachments

  • FB_IMG_1720356483522.jpg
    FB_IMG_1720356483522.jpg
    245.8 KB · Views: 6
Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.

Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.

Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.

Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)

THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.

Nikajua labda unamaanisha Nyoka watu?!
Waangalizi.
 
Dodoma ni mkoa wenye laana
 
Mbeya hakuna nyoka, ni mda sana umepita sijawahi waona ila usangu Kuna hadi chatu wale wakubwa nadhani kwa ajili ya joto na mawemawe mengi
 
Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.

Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.

Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.

Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)

THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
Nyoka ni mboga kwa mchina 😂

Acha uoga
 
Haha mkuu, hujasoma Jeografia nini? Cha kwanza tambua hao wanyama uliowataja wanaitwaje biologically na wanapatikana haswa kwenye mazingira ya aina gani. Pia ijue Dodoma inapatikana katika ukanda gani wa hali ya hewa then utaelewa kwa nini umekutana na aina hiyo ya nyoka hapo Dodoma kuliko eneo jingine lolote Tanzania. Nakutakia research njema ingawa si kubwa mkuu😀
 
Hao tunapishana nao wa kutosha Wana hawana shida kabisa ukila hamsini zako na miaka kumi dar sijawahi ona joka zaidi ya wale salamanda na wenyeji wanawaitwa nyoka daslamu bwana
Duh. Mbona hao blackmamba Inaonekana ni hatari sana
 
Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.

Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.

Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.

Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)

THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
Tabora
 
Back
Top Bottom