bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Huko hakuna wachina kwani watusaidie kuwapunguza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unaenda kutalii kuona nyoka au unaenda kutalii kujua kama tiba ya sumu zao zipo?Niambie Sehemu gani hapo niende nikatalii kwanza nawaonaga hawa nyoka kwenye TV 2 ila tiba za sumu zao zipo ?
Hiyo 👆 ni kweli kabisa na kama wapo ni wachache sana tena tule tunyoka tudogo-tudogo.Penye nyani wengi hapana nyoka
Natamani nijue nyoka wenyewe na tiba zake maana soon nitakuwa mtu wa msituniwewe unaenda kutalii kuona nyoka au unaenda kutalii kujua kama tiba ya sumu zao zipo?
Hiyo issue ndio imechangia pakubwa Wilaya za Mpwapwa/Kongwa na Urambo kuwa na majoka mengi baada ya project ya karanga kuanzishwa na kutumia nyoka Kama Kinga dhidi ya panya waharibifu kwa zao la karangaNachingwea ndio Wakoloni kipindi cha Ptoject ya Kilimo cha Karanga waliachia au tuseme kufuga nyoka na kuwaachia Mashambani ili wawale Panya...kwaiyo Nyoka Nachingwea ni wengi
Nyoka wapo wa aina nyingi sana na sio rahisi kuwaona wote kwani nyoka ni werevu na wanajua kujificha sana. Tiba za sumu za nyoka zipo Hospitali na hutegemea ni aina gani ya nyoka aliyekung'ata. Nyoka wote duniani unaweza kuwaweka katika mafungu manne(4) kwa mujibu wa sumu zao:Natamani nijue nyoka wenyewe na tiba zake maana soon nitakuwa mtu wa msituni
Aisee mazingira niliyopo na hii comment yako nimejikuta nageuka kituko mbele za watu nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chunya ,nilikutana na koboko,atakua alinichukilia poa tu akunikimbiza maana nisengemshinda,ila mwenda niliokimbia ,ile spidi nikagundua binadamu tuna uwezo wa kupaa ila tunajiendekeza tu.
Uhakika lazima siku moja nikiiona fursa siitupi kabisaVp broo, ungependa ujaribu ck moja? Mie nilishakula cobra na ninadunda hadi leo sikudhurika hata kidogo.
Nataka nizijue tiba asili kulingana na aina na nyoka husika. Tiba za sumu za nyoka zipo Hospitali na hutegemea ni aina gani ya nyoka aliyekung'ata.
Huenda kutokana na uwepo Wao mkubwa huko na Kuwadhuru Watu wa huko umepelekea wengi Wao ( Watu kutoka Mkoa wa Dodoma ) kuwa uwezo mdogo wa Kufikiri nikimaanisha Akili tofauti na Makabila mengine mengi nchini Tanzania yenye Akili sana kama ya Wazanaki ( Mara ) na Wayao ( Mtwara ) ambako ndiko Chimbuko Tukuka la GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Mimi.Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.
Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.
Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.
Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)
THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
Wamakonde wamegoma kula nyokaHuko Nachingwea nadhani kunaweza kuwa kunaongoza kwa Nyoka hapa Nchini.
Wale Nyoka wengi waliletwa na Wakoloni kipindi wanaendesha shughuli za kilimo kwenye yale mashamba yao ya kuanzia farm 1 hadi farm 17 ili kudhibiti panya na wadudu wengine waharibifu wa mazao.
Baada ya Wakoloni kuondoka waliacha wale Nyoka wamezaliana kupita kiasi na kuwatelekeza huko maporini.
Mkuu; kwanza kabisa NUKUONYE(WARNING) kila kabila au kila utakopoenda au kufika, utakuta wapo watu wanaodai wanajua au kuwajua "wazee" wanaofahamu Tiba za Nyoka esp. wale wanaopatikana eneo hilo. Majina ya nyoka waliopo i.e. wale nyoka wanao wafahamu watakutajia kwa kilugha chao. Miti itumikayo kama tiba kwa sumu ya nyoka watakutajia kwa kilugha chao. Ili uweze kwenda kui-identify hiyo miti ni lazima ufuatane na huyo "mtaalam" kwani miti inafanana.Nataka nizijue tiba asili kulingana na aina na nyoka husika
Ngoja niangalie kama ubongo wangu utakubali huu ukweli na kusitisha maharakatiMkuu; kwanza kabisa NUKUONYE(WARNING) kila kabila au kila utakopoenda au kufika, utakuta wapo watu wanaodai wanajua au kuwajua "wazee" wanaofahamu Tiba za Nyoka esp. wale wanaopatikana eneo hilo. Majina ya nyoka waliopo i.e. wale nyoka wanao wafahamu watakutajia kwa kilugha chao. Miti itumikayo kama tiba kwa sumu ya nyoka watakutajia kwa kilugha chao. Ili uweze kwenda kui-identify hiyo miti ni lazima ufuatane na huyo "mtaalam" kwani miti inafanana.
Ukizingatia kwamba ww ni " Binadamu-Mpiganaji" leo uko hapo, kesho uko kule n.k. Sio miti yote hususan ile "miti-dawa" hupatikana kila mahali. Kwa mantiki hiyo utauchosha sana ubongo wako.
Kama ni kutaja au kujua aina ya "miti dawa" itumikayo kama matibabu kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka waweza kuipata kwenye Google hata picha za miti hiyo.
Lakini bila kuiona Physically ni vigumu sana kusema umeijua kwa uhakika.