Nimetembea na mchumba wa Marehemu binamu yangu

Joined
Jun 12, 2024
Posts
34
Reaction score
45
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani..

Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.

Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean nyumbani ni sehemu gani, nikamuambia akaniuliza unamfahamu baba fulani nikasema simfahamu.. akaniambia aliwahi kufika hiyo sehemu kwa ajili ya kumzika mtu wake si ndio nikahoji huyo mchumba ake yupoje akanielezea aisee ni binamu yangu kabisa damu kabisa

Sasa wakuu nawaza hapa hakuna laana kutembea na mchumba wa binamu yangu tena walikuwa na uchumba rasmi, japo mimi simfahamu binamu yangu ila ndugu zangu wanamfahamu tena mzee wangu ndio anamfahamu kabisa mpk msibani alienda

Je niedelee na uhusiano hakuna shida yoyote ama nimpige chini… kichwa kinaniuma yaani huyu dada mmh
 
We nawe!

Kwenye baadhi ya makabila watu wanakula na hata kuoa binamu zao we unaogopa kutembea na mchumba wa binamu yako? Tena marehemu? Tena hukujua?

Ikibidi oa kabisa hiyo pisi ili umuinulie kizazi binamu yako!😁

Screenshot_20240729_005153_Samsung Internet.jpg
 
We nawe!

Kwenye baadhi ya makabila watu wanakula na hata kuoa binamu zao we unaogopa kutembea na mchumba wa binamu yako? Tena marehemu? Tena hukujua?

Ikibidi oa kabisa hiyo pisi ili umuinulie kizazi binamu yako!

Mkuu yaani najisikia vibaya kwa namna tulivyo lelewa yaani ule ukaribu
 
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani..

Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.

Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean nyumbani ni sehemu gani, nikamuambia akaniuliza unamfahamu baba fulani nikasema simfahamu.. akaniambia aliwahi kufika hiyo sehemu kwa ajili ya kumzika mtu wake si ndio nikahoji huyo mchumba ake yupoje akanielezea aisee ni binamu yangu kabisa damu kabisa

Sasa wakuu nawaza hapa hakuna laana kutembea na mchumba wa binamu yangu tena walikuwa na uchumba rasmi, japo mimi simfahamu binamu yangu ila ndugu zangu wanamfahamu tena mzee wangu ndio anamfahamu kabisa mpk msibani alienda

Je niedelee na uhusiano hakuna shida yoyote ama nimpige chini… kichwa kinaniuma yaani huyu dada mmh
Sawa ,umeendeleza undugu.
 
We nawe!

Kwenye baadhi ya makabila watu wanakula na hata kuoa binamu zao we unaogopa kutembea na mchumba wa binamu yako? Tena marehemu? Tena hukujua?

Ikibidi oa kabisa hiyo pisi ili umuinulie kizazi binamu yako![emoji16]

View attachment 3055599

Baba ake na baba angu wanaitana kaka yaani babu yangu na bibi yake ni mtu na mdogo wake kwaiyo mimi hapo ni nani
 
Back
Top Bottom