Nampendamilele
Member
- Jun 12, 2024
- 34
- 45
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani..
Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.
Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean nyumbani ni sehemu gani, nikamuambia akaniuliza unamfahamu baba fulani nikasema simfahamu.. akaniambia aliwahi kufika hiyo sehemu kwa ajili ya kumzika mtu wake si ndio nikahoji huyo mchumba ake yupoje akanielezea aisee ni binamu yangu kabisa damu kabisa
Sasa wakuu nawaza hapa hakuna laana kutembea na mchumba wa binamu yangu tena walikuwa na uchumba rasmi, japo mimi simfahamu binamu yangu ila ndugu zangu wanamfahamu tena mzee wangu ndio anamfahamu kabisa mpk msibani alienda
Je niedelee na uhusiano hakuna shida yoyote ama nimpige chini… kichwa kinaniuma yaani huyu dada mmh