Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

Ume broke code za brotherhood

Dada wa mchizi ni Dada yako

Mama wa mchizi ni mama yako

Mke wa mchizi ni shemeji usilete mazoea na ujuaji

Ex wa mchizi ni ex wako pia usiwasiliane nae wala kuleta mazoea kwa namna yoyote Linda misingi

Deep down ulijua nn kitaenda kutokea but still u go ahead with yo betray

Your fuckin snitch
 
Ume broke code za brotherhood
Dada wa mchizi ni Dada yako

Mama wa mchizi ni mama yako

Mke wa mchizi ni shemeji usilete mazoea na ujuaji

Ex wa mchizi ni ex wako pia usiwasiliane nae wala kuleta mazoea kwa namna yote Linda misingi

Your fuckin snitch
I was just being a good brother kwake pia

Ila she's the one who tricked me

Ingekuwa wewe ungechomokaje?

Mazoea yalikuwa safe, mpaka ulivyo fika chumbani.

Sasa ukinitukana kitabadilika nini?
 
Back
Top Bottom