Siyo mbongo ni dunia nzima , who doesn't maybe monksHakuna mbongo asiyependa maana hatuna mengi ya kutusumbua kichwa, tuko complacent sana
Chechekule
Aisee.. 😂 Hii mbaya sasa.Mimi nimezaaa nae kabisa, urafiki ulikufa ila leo hii tukikutana salamu na story za hapa na pale, pengine M/Mungu akibariki nimepanga awe mke wangu.
Penzi la kuiba ni tamu mno na sidhani kama mtaacha once mmeshaanza kuvuana na mwanamke akianza kukupenda yeye utaona dunia yote yako. Chcht utamwambia atafuata kama ulivyosema wewe100% OYAAAA. Utaleta mrejesho hapa mkiwa serious
Ulipaswa upotezee day one, ukipendwa na mwanamke kuna raha yake bana. Ni rahisi kuishi na mwanamke anaekupenda kuliko anayempenda😀Aisee.. 😂 Hii mbaya sasa.
Mm nitapotezea tu
Sasa mwenye hatia sio mimi ni yeye aliye ni tempt kufanya nae mapenzi. Hivi kwanini swala la kihisia na ambalo liko nje ya uwezo wetu tunapenda kumwingiza Mungu? I just responded to stimuliUzinzi ni dhambi.
Mshahara wa dhambi ni mauti. Baada ya dhambi ni hukumu. Amani yote ambayo ulikua nayo ulipokua unaenda kwao imekufa mazima, na ucheshi wote pia umekufa mazima. Ukienda nyumbani kwao utakua unajiskia hatia.
Azinie na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakalo angamiza nafsi yake.
Uzinzi huleta aibu moyoni na machoni. Sasa hutoweza hata kumwaangalia rafiki yako maana umetenda dhambi.
Uzinzi huleta hatia moyoni.
Uzinzi huondoa amani. Utakapokua na rafiki yako hutakua na amani tena.
Uzinzi huleta ugomvi.
Basi mwambie bila kupindisha 😁Sioni future nae mkuu.