Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

Ngoja aje rikiboy mtaalamu wa hizi mambo za kula kimasihara.

cc binti kiziwi ephen_ Seran min -me Lamomy

Chiwawa kaliwa kimasihara 😹😹

Ningeshangaa hizo nguvu za kupiga demu sound mpaka amkubali kazitoa wapi?
 
Chiwawa kaliwa kimasihara 😹😹

Ningeshangaa hizo nguvu za kupiga demu sound mpaka amkubali kazitoa wapi?
Shenzii😁

Kwanza chiwawa ndo nini wewe winga?
 
How could I plan something I was unaware of?

She's the one who've been clingy and I though that was platonic.

But it was her game to get me, and she finally succeeded. How could I win the temptation
How?.......Like how? Were you raped you silly boy?
 
How?.......Like how? Were you raped you silly boy?
Fvck you, I wasn't raped mf

I was tempted to sleep with my friend's sister. She's the one who wanted it, and I couldn't ignore the duty
 
Aisee uzinzi sio mzuri
Na mama yake unahisi anajua
Na msichana analala nje halafu hakuna kitu kinatokea
Kweli familia na malezi yapo tofauti
 
Aisee uzinzi sio mzuri
Na mama yake unahisi anajua
Na msichana analala nje halafu hakuna kitu kinatokea
Kweli familia na malezi yapo tofauti
They believe in their children wako open sana, ila ndo hivyo nyege haichezewi
 
Sasa mkuu kama mdogo mtu alikuwa na njama hizo ningefanya nini mimi?
Kimsingi hupaswi kujilaumu kumuhusu huyo rafiki yako kama kweli uliwiwa pia kufanya hivyo, ila kama kweli mwanao kabisaa hapana mimi siwezi najua pia dada mtu angenichukia sana ila ni bora kuliko kuja mwana anione snitch.
 
Ngoja aje rikiboy mtaalamu wa hizi mambo za kula kimasihara.

cc binti kiziwi ephen_ Seran min -me Lamomy

Thread iliyotizamwa na kuchangiwa na watu wengi zaidi , JF mpaka hivi sasa


Huyu mwamba apewe maua Yake

Raia milioni 21 Siyo poa
 
Ni mwanangu toka way back sana,

Sasa tumekuja kuwa na ushkaji mkubwa miaka ya hivi karibuni, mixer wazazi wake wananifaahamu sana. Mimi ni mtu ambae nikizoeana na watu, hamnaga kupoa. Yaani ni mtu wa good vibes, huwa nakuwa na stori za kuwafanya watu wabadili moods.

So kuna dada mtu ambae siku wahi kuwa tunajuana coz muda mwingi alikuwa masomoni, toka nianze kwenda pale amekuwa akiniganda sana, na wazazi wao wanajua ni friends, nikifika ga pale huwa ananichangamkia sana, mara tumekaa tuna watch movie aje aniwekee miguu yake.. Mara nmanataka ashike simu yangu... Napenda sana kuongelea mambo ya philosophy na psychology so anapenda kuniita psychiatrist wake(matani) wakati mm mwenyewe mpuuzi flani tu hivi.. Aisee majuzi tu hapa weekend ya ijumaa alinisindikiza kumbe kawaambia wazazi wake kuwa kuna mishe na kazi anaenda kufatilia(aliwadanganya)

Guys, mimi sijui chochote nimetoka zangu pale kwao maana huwa napita kama kila day kuwapa hi, si naona mtoto huyu hapa, ananifata alaf hata hajistukii nikamuuliza vp? Akaniambia we Twende tu, OK mimi uelekeo ulikuwa kwa pub moja utulivu huwa na mandhari mazuri, na huwa hata sinywi pombe huwa napenda kukaa tu pale kula nyama choma.

Tukafika pale si muhudumu akaja, akaniuliza kama kawaida, nikamkonyeza leta bia, si kutaka kujiona mnyonge kumbe mtoto anajua mambo yake naye akaagiza na pesa alikuwa nayo..

Oya nililewa tena kwa mara nyingine baada ya kuacha kunywa, aisee lile vibe langu mtoto alicheka mpaka basi

Maana mimi huwa sipoi kabisa, nageuka mjuzi wa kila kitu, na ego yangu inafika asilimia buku. So nakuwa msanii, motivational speaker, scientists, mara Mshauri wa mapenzi.... Yaani hizo zote ni stage katika kulewa kwangu.. Walio karibu yangu watacheka, kulia, kusikitika na kuwa bored...

Basi bwana, tumelewa na kimbembe ni demu alikuwa na mpango ni mchape mashine tu, it was all her plans, hakulewa sana, na nilishangaa how comes anakunywa pombe kiasi hiki?

E bwana eeh si akabook Uber na chumba kabisa, whaat a suprise, mimi najua tunarudi na rudisha kwao kumbe kasha plan, aisee ulevi na utambuzi ulinijia umefika counter, ndo nashtuka mbona haya mazingira ya lodge.

Mimi nikajifanya kauzu ila tumeshafika sasa nikajifanya sijui inaonekana mwendawazimu... Si akalipia pale tukaingi kwa chumba, nikatuowa kwa bedi... Mkuu hizi pombe bwana, yaani nilikuwa naona kinacho endelea ila nguvu ya kugoma wala kukataa haikuwepo tena maana nilijua dhahiri huyu leo lazima ni mchape tu.

Ile nimejilaza kwa bedi alikuja kwa juu yangu na kuanza kunipa rough romance.. Aisee baada kama ya dakika moja tayari mwili wangu ulikuwa full heated up, Wacha nimpe mechi ya kibabe, it was one of the heated and steamy sex sijawahi kuona. Kesho yake akawa panga home Ali sleep over kwa rafiki zake.

Sasa baada ya ile incident hata safari za kwenda kwao zimepungua, kaka mtu ambae ni mwanangu hajui, dogo ananiganda vibaya, wazazi hasa mama mtu huenda anajua. Sasa hapa kitu kinacho nitatiza ni kuwa mwanangu alisha wahi namba nicheze kwingine ila sio kwa dada yake, na imeshatokea.

Sooner or later atajua tu na urafiki u brotherhood unaweza kukata kabisa. Sasa mtoto na yeye si haba ule moto alonipa lazima tutakutana na kitahappen again.

How do I come out of this, wakuu.
Umeweza kulala na dada yake maana yake hata mke wake akiwa karibu yako unapita naye urafiki wa kijinga kabisa.
 
Back
Top Bottom