Nimetembea na mdogo wake rafiki angu sijamwambia na mtoto kaniganda

Chiwawa kaliwa kimasihara 😹😹

Ningeshangaa hizo nguvu za kupiga demu sound mpaka amkubali kazitoa wapi?
 
Chiwawa kaliwa kimasihara 😹😹

Ningeshangaa hizo nguvu za kupiga demu sound mpaka amkubali kazitoa wapi?
Shenzii😁

Kwanza chiwawa ndo nini wewe winga?
 
How could I plan something I was unaware of?

She's the one who've been clingy and I though that was platonic.

But it was her game to get me, and she finally succeeded. How could I win the temptation
How?.......Like how? Were you raped you silly boy?
 
How?.......Like how? Were you raped you silly boy?
Fvck you, I wasn't raped mf

I was tempted to sleep with my friend's sister. She's the one who wanted it, and I couldn't ignore the duty
 
Aisee uzinzi sio mzuri
Na mama yake unahisi anajua
Na msichana analala nje halafu hakuna kitu kinatokea
Kweli familia na malezi yapo tofauti
 
Aisee uzinzi sio mzuri
Na mama yake unahisi anajua
Na msichana analala nje halafu hakuna kitu kinatokea
Kweli familia na malezi yapo tofauti
They believe in their children wako open sana, ila ndo hivyo nyege haichezewi
 
Sasa mkuu kama mdogo mtu alikuwa na njama hizo ningefanya nini mimi?
Kimsingi hupaswi kujilaumu kumuhusu huyo rafiki yako kama kweli uliwiwa pia kufanya hivyo, ila kama kweli mwanao kabisaa hapana mimi siwezi najua pia dada mtu angenichukia sana ila ni bora kuliko kuja mwana anione snitch.
 
Thread iliyotizamwa na kuchangiwa na watu wengi zaidi , JF mpaka hivi sasa


Huyu mwamba apewe maua Yake

Raia milioni 21 Siyo poa
 
Umeweza kulala na dada yake maana yake hata mke wake akiwa karibu yako unapita naye urafiki wa kijinga kabisa.
 
Umeweza kulala na dada yake maana yake hata mke wake akiwa karibu yako unapita naye urafiki wa kijinga kabisa.
Hapana hiyo ni scenario iliyo tengenezwa na dada mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…