Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Imeandikwa sehemu kwenye katiba ya Afrika.. Hakuna kunywa chai siku ya Christmas, ni ku starve mpaka msosi uiveHapo toa hela ya vocha kwa ajili ya kununua mafuta ya kupikia.
Harafu hapo haujui asubuhi kifungua kinywa ni nini
Asanteee Mkuu hapa napangilia bajeti ya mwezi mzima Kaka.Watu wanne wanamaliza pilau kilo moja mkuu
Weka vitu vyako sawa tu, ukiwa mwenyew unakula mpaka basi
Hahahaaaa inamaana hapo inapaswa iwe kipimo sawa na mchele au izidi Mkuu manake mi si mtalaam wa hesabu za jikoni ila kupitia hapa nataka nifanye utafit kwa vitendo.Kilo 1 ya mchele wanakula watu wanne, nyama inatakiwa iwe nyingi, Nusu kilo watagombea finyango, sijui mtoa mada yuko na nani !!
Hapana hujasema uongo mkuuNireteeni gwaaajima.
Nasema uongo ndugu zangu?
Ukeri mndenyi usho?Leo mbuzi wa tatu anadondoka...mpka nirudi dar hali itakua mbaya sanaa
Iyee mangyiii.... ngipaisaaUkeri mndenyi usho?
Dah noma kweliImeandikwa sehemu kwenye katiba ya Afrika.. Hakuna kunywa chai siku ya Christmas, ni ku starve mpaka msosi uive
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nireteeni gwaaajima.
Nasema uongo ndugu zangu?
Wasukuma wana maajabu sana, kijana akikaribia kubalehe tu....anapewa ng'ombe aende nao malishoni mbali kwa wiki au zaidi ili akajiburudishe huko maporini na hao wanyama. Kijana anapewa na msindikizaji pamoja na kufungashiwa vyakula vya kubeba, unga, dagaa, karanga, n.k. Dogo akirudi yuko fresh anaanza kutafuta wasicha wa kitaa kwani anakuwa tayari kajiandaa maporini.[emoji3][emoji3]sio kweli
Ukisikia ujinga ndiyo huu, yaani mtu uache kula kisa Christmas tu?Imeandikwa sehemu kwenye katiba ya Afrika.. Hakuna kunywa chai siku ya Christmas, ni ku starve mpaka msosi uive