Nimetenga elfu kumi na mbili (12,000/=) ya sikukuu

Nimetenga elfu kumi na mbili (12,000/=) ya sikukuu

Hapo toa hela ya vocha kwa ajili ya kununua mafuta ya kupikia.
Harafu hapo haujui asubuhi kifungua kinywa ni nini
Imeandikwa sehemu kwenye katiba ya Afrika.. Hakuna kunywa chai siku ya Christmas, ni ku starve mpaka msosi uive
 
Watu wanne wanamaliza pilau kilo moja mkuu


Weka vitu vyako sawa tu, ukiwa mwenyew unakula mpaka basi
Asanteee Mkuu hapa napangilia bajeti ya mwezi mzima Kaka.

Nauanza mwaka 2021 kwa mageuzi makubwa ya mahesabu ya bajeti.
 
Kilo 1 ya mchele wanakula watu wanne, nyama inatakiwa iwe nyingi, Nusu kilo watagombea finyango, sijui mtoa mada yuko na nani !!
Hahahaaaa inamaana hapo inapaswa iwe kipimo sawa na mchele au izidi Mkuu manake mi si mtalaam wa hesabu za jikoni ila kupitia hapa nataka nifanye utafit kwa vitendo.
 
[emoji3][emoji3]sio kweli
Wasukuma wana maajabu sana, kijana akikaribia kubalehe tu....anapewa ng'ombe aende nao malishoni mbali kwa wiki au zaidi ili akajiburudishe huko maporini na hao wanyama. Kijana anapewa na msindikizaji pamoja na kufungashiwa vyakula vya kubeba, unga, dagaa, karanga, n.k. Dogo akirudi yuko fresh anaanza kutafuta wasicha wa kitaa kwani anakuwa tayari kajiandaa maporini.
 
Back
Top Bottom