Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

kampuni nyingi tanzania now hamna kodi. Inarudishwa kama bonus labda odd change
 
Huyu jamaa watu hawamuelewi tu! Umenikumbusha kisa cha dogo mmoja wa Australia alifungiwa na kampuni kwa ajili ya Abitrage na kuanzia hapo nadhani kampuni zote za betting zinachukua odds kwenye source moja so ile variation ya odds inakuwa ndogo sanaaa so watu hawaoni umuhimu tena kuwekeza kwenye sure bets..
 

Ndio maana nimesema tangia mwanzo hakuna system ambayo long term inaweza ika-guarantee long term high return, kumbuka pia bookies wana-adapt na kubadilika kulingana na wakati, na pia tunaposema beat the bookies mara nyingi sio bookie unayempiga siku hio bali ni punters wenzako ambao wameliwa siku hio
 
naweza kusema nimeelewa vizuri sana. Na hii unaweza pia kutumia kwa option tofauti pia.

Huu hasa ndio ufa nilikuwa nautafuta siku zote.

Shida tu hapa labda kwa kutumia mbinu hii watu watakwama kwenye deposit fee.
Pia sio rahisi kama unavyodhani! Inahitaji utulivu wa hali ya juu na kumbuka odds zinabadilika within a second hasa bookmakers wapo very sharp na sensitive sana wanahisi kuna loophole sehemu! Ingawa kuna kampuni zinajulikana kutoa odds za juu kidogo ili kuvutia wateja
 
Boss mimi ni mfanyabiashara wa Mazao kwa miaka kadhaa sasa. Lakini kitu kimoja lazima tukikubali, tuko kwenye uchumi wa kibepari, uchumi ambao kila kitu kinafanyika. Kile ambacho kikiitwa halali na sheria ya nchi basi hicho ni sehemu ya kupeleka hela kwenye kapu la Taifa. So anachokifanya huyu Wallstreet hakina tofauti na ninachokifanya mimi cha kununua na kuuza mazao. Zote ni shughuli halali za kiuchumi.

Mimi nikinunua Mpunga inyonga mpanda wa thamani ya Mil 3 na kwenda kuuza Singida nikaingiza 10 Mil na kisha nikanunua gari..

Na huyu bwana akaweka mil 1 akaingiza Mil 10 akanunua gari hilo hilo

Wote tumefanya shughuli za kiuchumi za halali kwa mujibu wa sheria za nchi.


Dunia inabadilika sana... Dunia ya kuwork hard imepita sana, just work smart!
 
Usijitie wazimu, mfanya biashara anazalisha huduma.muhimu sana ya kutoa bidhaa kutoka ilipozalishwa na kuipeleka sokoni inapohitajika, vinginevyo kila mtu angekuwa anaenda TBL na chupa tupu ya bia na kupanga foleni kununua bia moja na kurudi nayo nyumbani. Yeye anazalisha nn?
 
Hajazalisha, amecheza kamali ametengeneza Mil 15 ambayo ni shughuli halali kabisa na analipa kodi.
 
Hajazalisha, amecheza kamali ametengeneza Mil 15 ambayo ni shughuli halali kabisa na analipa kodi.
Kutengeneza pesa bila kuzalisha bidhaa au huduma ni utapeli. Sheria isiwe kisingizio, kuna nchi hadi machangudoa wanalipa kodi na wana leseni, lakini haibadiliki kuwa kitendo halali kufanya uchangudoa.
 
Leo tukipitisha sheria ya ndoa za mashoga kama wazungu wanavyotaka tufanye, je, itakuwa ni halali kwa wewe kufokolewa kinyesi makalioni na mwanaume mwenzio as per the law?
Nadhani hujui maana ya neno HALALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…