Boss mimi ni mfanyabiashara wa Mazao kwa miaka kadhaa sasa. Lakini kitu kimoja lazima tukikubali, tuko kwenye uchumi wa kibepari, uchumi ambao kila kitu kinafanyika. Kile ambacho kikiitwa halali na sheria ya nchi basi hicho ni sehemu ya kupeleka hela kwenye kapu la Taifa. So anachokifanya huyu
Wallstreet hakina tofauti na ninachokifanya mimi cha kununua na kuuza mazao. Zote ni shughuli halali za kiuchumi.
Mimi nikinunua Mpunga inyonga mpanda wa thamani ya Mil 3 na kwenda kuuza Singida nikaingiza 10 Mil na kisha nikanunua gari..
Na huyu bwana akaweka mil 1 akaingiza Mil 10 akanunua gari hilo hilo
Wote tumefanya shughuli za kiuchumi za halali kwa mujibu wa sheria za nchi.
Dunia inabadilika sana... Dunia ya kuwork hard imepita sana, just work smart!