Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Lakini ile style yako ya arbitrage si ina odds ndogo nayo?
 
Lakini ile style yako ya arbitrage si ina odds ndogo nayo?
ile ni guarantee winnings unashinda kabla game haijaanza point ni kwamba mara nyingi timu kubwa zenye washabiki mara nyingi wanazipa odds ndogo hata kama hali halisi sio hivyo...

tukichukua timu kama Barcelona ilienda mwaka huu game nane bila kushindwa na hio ndio ilikuwa kubwa kwa wakati huo kwa ligi zote tano kwa msimu huu

✌✌
Girona ✅
Leganés ✅
Eibar ✅
Getafe ✅
Celta ✅
Levante ✅
Espanyol ✅
Villareal ✅
With today’s win, that’s 8 in a row!
Longest winning streak for Valverde, and longest current winning streak in Europe's top five leagues!#ForçaBarça

— FC Barcelona (@FCBarcelona) January 27, 2019

Mechi inayofuata ikawa against valencia ikawa Draw...

am sure hapo kuna games alikuwa anapewa odds za kipuuzi kabisa.., moral of the story mara nyingi ukubwa wa timu unapelekea kupewa odds za kipuuzi kuliko uhalisia, na kwenye mpira favourites wana-draw mara nyingi kuliko maelezo
 
Hivi zile kampuni za kubet ambazo wale jamaa wa sure bets wana suggests sio kwamba ni feki aisee?
 
Hivi zile kampuni za kubet ambazo wale jamaa wa sure bets wana suggests sio kwamba ni feki aisee?
odds portal ni odds comparison website..., wanacompare odds kutoka makampuni karibia yote ya betting; faida yao ni watu wakijiunga na bookies kupitia kwao na wakicheza bookies wakipata faida wanawapa commission

kwahio hizo site ni za kweli na odds wanazotoa kwa wakati huo ni za kweli

Hio surebets ni moja ya services zao kuvutia wateja na ukitaka zaidi ya tips kumi kwa wiki nadhani wanakupa option ya kulipia which means more income generation kwao
 
Asante sana mkuu. Nakushukuru sana kwa kunipa mbinu za kuweka steki tembo kwa odds sungura, matokeo nimeanza kuyaona katika mikeka niliyosuka baada ya kufuata ushauri wako. Hii mbinu yako inalipa. Katika mikeka 12 niliyotengeneza kwa kufuata ushauri wako, nimekosa 1 tu. Nimeliwa sana na mhindi kwa kukosa maarifa...nilikuwa naunga behewa la timu 20 nakosa moja kila siku. Afadhali umekuja kuniokoa. Ubarikiwe sana. Sample ya vimikeka ninavyosuka sasa hii hapa:
 
Komaa mkuu, usiwe na tamaa!! Weka pesa zako sehemu salama usibweteke
 
Mkuu umenichekesha eti nabeti timu ambazo hata kanji hazijui. Yaan timu kubwa jau sana hata mm nimegundua vitimu vidogo vidogo ndoo vinalipa. Kwa mfano vitimu vya Australia vinafunganaga sana kwahyo ukivipa both to score hupotezi.
 
Kwani mkuu ukibet maana yake ndio na kazi hufanyi? Kubet ni kama tu swala la ziada.
 
Kwani mkuu ukibet maana yake ndio na kazi hufanyi? Kubet ni kama tu swala la ziada.
Uovu unaofanywa part time na full time hauna tofautu, kwani hata jambazi unafikiri hafanyi kazi? Ujambazi anafanya part time tu.
 
Mkuu nisaidie laki6 tu nilipe ada yangu ya semester ya pili hapa kwenye college nilipo nitakulipa tu japo Sina uhakika itakuwa lini ila nitakulipa tu mkuu wangu NISAIDIE
 
hizo stake ulizoweka umeniinspaya sana.. cjawahi kuweka zaidi ya 5000, leo ngoja nijaribu elf kumi
 
Gamble responsibly, mzee baba wewe umeingia namba mbil kwa watu wenye roho mbaya kwene betting ya Meridian namba moja ni binadamu Anaitwa Deo, huyo kaka ana roho ngumu anachezaga no goal mzee baba acha na stake anaweka kama zako.....
 
Gamble responsibly, mzee baba wewe umeingia namba mbil kwa watu wenye roho mbaya kwene betting ya Meridian namba moja ni binadamu Anaitwa Deo, huyo kaka ana roho ngumu anachezaga no goal mzee baba acha na stake anaweka kama zako.....
No goal labda kama anacheza in play betting dakika ya 80 huko, no goal kuanzia game inaanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…