Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Upo sawa. Ila Kuna watu wanaishi kwa betting. Kila weekend wanabet na hawana kazi ingine zaidi ya betting. Kuna mtu hana njia ingine ya kipato kabisa ukimuuliza unatoa wapi hela ya bet anakwambia nikishinda naacha ya bet next week na ana mtaji wa kutosha.
 
Sijauliza umechangia nini kwenye makusanyo ya serikali maana hiyo ni kutoa pesa mkono wa kulia na kuhamishia wa kushoto. Nauliza, UMEZALISHA NINI kwenye uchumi wa taifa?
Amezalisha PESA
 
Mwaka 2015 kabla sijaingia Mozambique nilikua na bet ila vitasa sana kun day nikauza memory card yangu elf 7 then nikaingia betting na plan mpya nikaondoa tamaa ya pesa nying nikaanz katka elf7 kila buku nikaweka Tim 2 odd 2.20 au 2.40,2.35 ,2.50 jumla tiket 7 kwa ujumla nazipa win so kwa siku iyo nikaweka mikeka 7 kuja jion nimepga minne fail 3 pesa elf 17 ukitoa ile EF 7 faida elf 10 ndio ukawa mchez wangu huu, Aise ndan ya wiki nikawa na 70 na kitu faida sometimes EF 5 au 8 12 ef 9 kawaid nikagundua ni bora faida ndogo ya uhakika tena kwa kila siku kuliko kubwa roho mkononi dakk ya mwisho unapgwa unabak kapa.
 
Facts gambling is not a business
 
Niko off mwaka mzima huu, nagusagusa sikumojamoja nikiwa bored. 2017 nilipiga fainda ndefu, 2018 nilkula nikaliwa. Haya mambo usipokua makini unaweza ukawa regenerate gambler ambayo huwez kuacha labda kifo kikutenganishe
Ukiwa bored au ukiwa umepungukiwa pesa.
 
Kwa sio tunao bet pindi tukisema tufanye biashara naamini tutafanikiwa sana hasa yule anayeweka 100k apate 200k, kwa nini nasema hivi maana betting huwa inahasara sana kuliko biashara yoyote, nilishangaa jamaa analia amepata hasara ya 30k kwenye biashara ya machungwa lakini ameuza na amebaki na pesa, sasa biashara unapata hasara lakini sio zote Mtaji unaisha, bet stake au Mtaji unalika wote inakuwa total loss.
 
Nimeanua nitulie tu boss... Kanji ataniuaa mamaee zakee
Kama umetulia Ni Jambo zuri sana ninakuomba usirudi tena kuna jamaa hapo nimemuelewa sana amesema betting hata uwe na 1billion utafilisika na hata upate faida kama huyo wa 15mil bado utafilisika na kutumia za mfuko which means ukiwa na nyumba utauza, system yake iko hivo kabisa anayeiweza hapa bongo na wapi amna
 
Kweli mkuu Betting ni Ujinga sanaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…