Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Naunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betting inapresha halafu ni ulevi. Hapa nilipo nawaza nitumie system IPI. Nimechoka kuliwa. Nami nataka niweke kikubwa nipate pakubwa.
Kweli kabisa, betting ni pasua kchwa mkuu. Lakini unachotakiwa kujua ni kuwa usifanye betting kama njia ya kujipatia kipato....ifanye tu kama mchezo wa kawaida; otherwise utaliwa mpaka utaitika: abeee!!! Be careful, betting is addictive!!
 
Kweli kabisa...
 
Mimi huwa nabet timu3@1.12=1.4,stake 2mil.=2800000,profit 800000,nabet mara2 tu kwa wiki(jmos&j2)=1600000,Option yangu ni "CLEN SHEET NO"kwa team mbovu.this season nimeliwa mara1 tu(lvpool alipigw3-0)..last season sikuliwa hata mara moja.
dah mkuu nipe kautaratibu
 
Mkuu Wall street kama upo hewani naomba sana uje hapa uwape wanao mbinu za kumla Kanjibai maana tumeliwa mpaka tumeitika abeeee! Si kwa kuliwa huku aisee! Spurs na Man City watatufilisi mwaka huu.
 
Karibu kwenye kilimo ndugu ndio utajua kuwa kilimo ni zaidi ya kubet....mwaka jana jua iliangamiza mipunga, mwaka huu mafuriko yamebeba mpungana yaliyopatikana bei ndio imekuwa ya Hasara ni mara kumi napataga pesa kwenye mtandao Forex na betting 100k havinipgag chenga ila kilimo ni kama vikoba haina faida yoyote unawek 3M unakuja kupata 5M after six months or more. Mtu anaekushaur kuhusu kilimo hakutakii mema anataka uwe maskn wa kutupwa usione tu watu wanapga picha wakiwa mashambani wanaopata faida ni wanaolima mashamba makubwa 50 acres and above ila wa 1-5acres bora bora ufanye shuguli zngne unaweza ukalima vizur kila kitu kikaa poa ngoja uje uvune utavuna gunia 5 alaf kitu kilishona hatar, nyie sikien tu kwenye whatsapp UCHAWI ni noma.
Betting, Forex and other online businesses are the best businesses i can say coz zna risk kubwa na kipato kikubwa.
 
Umekuza kipato chako bila kufanya kazi (kuzalisha huduma / bidhaa), kwa lugha nyingine tunaita wizi / utapeli. Na ndio maana kuna vita inapigwa kuzifungia hivi vichaka vya wezi na matapeli.
Kiongozi dunia ishahama huko now tupo ulimwengu mwingine kwahyo wakina Diamond, Alikiba hawkuz kipato cha nchi?? tatzo umekariri na kama ungesoma Economics usingepata shida. Uchumi unakuzwa kwa njia nyingi kuna watu wanatumia akili ila wanalipa Tax wanajenga nchi na kuna wengine wanatumia nguvu nao wanajenga nchi ila usikwepe tu Government tax sasa mtu anaeBET analipa tax kwenye slip yake anayopewa akishnda kama akipgwa hile aliyoBetia inakatwa 20% ya TRA.
Alaf hakuna aliewahi kutajirika kwa kufanya kazi ngumu utabaki tu unajiona kuwa wewe ndio bora ila ukianza kuzeeka utaanza kuwapa nduguyo shida kukutunza.

Na kwa kuwa kila mtu analisha fsmilia yake na anajilisha mwenyewe mwacheni afanye kazi ameona ina manufaa.
Kazi ngumu zingekuwa znalipa wakulima vijijin wasingekuwa wanaomba nguo kutoka mjni wanalima miaka nenda rudi na life style ni hile hile .
 
Kwahiyo unataka sisi tufanyeje engine hatuwezi kbs kubet labda nikole hela we unifsnyie hiye makita ila BETTING MNA ROHO JAMANI
 
We kiazi umeona ajira ndo kila kitu .?
Mwambie kwamba watu tunaobet ndiowatengenezaji wakubwa wa ajira hapa nchini. Mkumbushe kwamba makampuni ya betting yameajiri mamilioni ya watanzania kama mafundi, mawakala, masekretaries, wahudumu wa ofisi na ajira nyingine kedekede. Sisi tukiacha kubet, ajira zote hizi zitapotea. Hajui kuunganisha nukta huyo mshamba, anahitaji kuelimishwa...hakwenda shule. Angekuwa ameenda shule angefahamu maana ya multiplier effect.
We kiazi umeona ajira ndo kila kitu .?
 

Kwa hiyo mzee tusizike mamillion kwenye kilimo...tuendelee kuweka mzigo kwenye mikeka yetu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…