Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Mkuu mimi nimekuwa sipitishi wiki sijala, lakini mtaji wangu ni elfu kumi, na ikishuka chini ya hapo sijisikii kabisa kugusa betting app yoyote.

Ngoja niandae mkakati wa mwaka wa fedha 2019/2020.
 
Hongera kaka,
Style yako ya stake kubwa imekulipa, kuliko kuweka behewa then anakuja mmoja anazingua.

Pili hii option ya magoli mengi 2nd half kumbe iko njema eee?
 
Wanasema the struggle is real mimi sioni tabu kuweka hata laki 2, na mda mwingi ninabutua tuuu, juzi nimeweka odds 8.kadhaa 150k arsenal tuu kaniua, hapo nilikuwa nivute kama 1.3M na sio mara moja nazivuta, hongera sana masta tatizo langu sijawahi kiweka hayo mahesabu ila madhani mhindi nimetandika zaidi ya 19M, ilannaye kanibutua kweli kweli ila haizidi hata milioni 3 ila si bet kila siku
 
hyo ndo stratergy yangu na tangu nlivomaliza chuo 2016....maisha yanaenda kwa betting..kwa sasa naheshimu betting kuliko degree
 
Daah me nimepigwa sana hizi jero jero na buku mpka saiz nahisi mhindi namdai kama 700k ila sasa nimegundua kitu na nimeishajua wapi nafeli ,mwaka wa fedha 2019/2020 nataka nifanye kitu special kwanza ni kuepukana na tamaa pili nataka nianze na 50k tu ila kwa nidham sana ,imagine sometime naweka timu kumi na NNE lakin timu moja au mbili zinaharibu tena normal sasa nikiamua kuwa na nidham atarudisha tu chenji zangu na faida kibao ,mapambano yanaendelea na ili ufanikiwe lazima uanze kwa kukosea ,sasa nimekosea sana na nasema imetosha sasa.
 
alafu kuna mabata yanakazana ooh tuache kubet...tufanye kazi...hayo mambo ya kufanya kazi kwa juhudi ni industrial age ndo ilikua ufanye kaz sana upate hela sana..sasa ivi this is information age...watu wanaobet kama kaz wana mawe mbaya...mshahara wa profesa unaingizwa kwa dk 90..mama...eee
 
Mkuu pole sana tena pole sana..., hapo nimefungua screen shot moja una wager mpaka 1.5m kwa wakati mmoja sasa with that amount of risk kwenye game moja na miezi minne una 10 times the amount ambayo sometimes unaweka in single bet kwakweli its a road to disaster...,

Kwa ushauri the house always win in the end hata kama leo ungepata millioni mia moja..., ukibet for a long time hio milioni mia moja itarudi kwao..., why ? Mathematically the Odds are against you..., labda ungekuwa unafanya Surebets kwenye different bookmakers ingawa nayo ni ngumu kupata good odds

Ushauri this is not business do it for leisure
 
Unabet lak aha ha a hauko serious hiyo pressure zaidi ya maji ya zima moto. Bet hero/buku update laki siyo kubet laki upate buku.utakuja kuongea barabarani peke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…