Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Niliweka behewa la timu 20 direct win ,ilikuwa inatoa milion 14 kwa stake ya 500, Fc basel akachana aisee. Sitosahau.
Hongera kaka,
Style yako ya stake kubwa imekulipa, kuliko kuweka behewa then anakuja mmoja anazingua.

Pili hii option ya magoli mengi 2nd half kumbe iko njema eee?
 
Daah me nimepigwa sana hizi jero jero na buku mpka saiz nahisi mhindi namdai kama 700k ila sasa nimegundua kitu na nimeishajua wapi nafeli ,mwaka wa fedha 2019/2020 nataka nifanye kitu special kwanza ni kuepukana na tamaa pili nataka nianze na 50k tu ila kwa nidham sana ,imagine sometime naweka timu kumi na NNE lakin timu moja au mbili zinaharibu tena normal sasa nikiamua kuwa na nidham atarudisha tu chenji zangu na faida kibao ,mapambano yanaendelea na ili ufanikiwe lazima uanze kwa kukosea ,sasa nimekosea sana na nasema imetosha sasa.
Well said mkuu!!aluta continua!!!!!
 
Nimekula milioni 11
Screenshot_20190428-083834.jpeg
 
Hakuna biashara inayolipa kama betting muhimu ni kuacha tamaa na ujiwekee kanuni muhimu za uchezaji

Kwa mfano mimi kila mkeka sitaki uzidi 1.80 odds

Na hata mechi iwe na uhakika kiasi gani simpi direct win yoyote nacheza dc


Na odds ya ushindi ni under 2.5 HT inatoa sana hiyo

Muhimu ukishaina unakula usitake kujaribu odds nyingi utapigwa



Anza na laki moja ukiweka odds 1.80 unapata 150 faida ni 50 nakuhakikishia katika mwezi utakosa mara 4 au 5 tu
hapo kwenye odd ya ushindi fafanua kidogo
 
u
Mkuu pole sana tena pole sana..., hapo nimefungua screen shot moja una wager mpaka 1.5m kwa wakati mmoja sasa with that amount of risk kwenye game moja na miezi minne una 10 times the amount ambayo sometimes unaweka in single bet kwakweli its a road to disaster...,

Kwa ushauri the house always win in the end hata kama leo ungepata millioni mia moja..., ukibet for a long time hio milioni mia moja itarudi kwao..., why ? Mathematically the Odds are against you..., labda ungekuwa unafanya Surebets kwenye different bookmakers ingawa nayo ni ngumu kupata good odds

Ushauri this is not business do it for leisure
ukiwa hujui kitu haimaanishi icho kitu hakiwezekani...its matter of how far your mind can go into that bussiness....unaogopa stake iyo.m?ukiona stake za kina wilson perumal si utaandamana wewe
 
Mkuu I repeat no one makes long term money in any football system long term.., its mathematically impossible.., nishafanya research ya all so called systems iwe fixed betting au kutumia kina fibonacci, martingale, hadi kwenye in play backing and laying..., watu wanao make fortunes ni bookmakers na wanaouza system kwa watu juu ya betting.

huwezi ukasema unamake fortune hata ungekuwa una billion ishirini na unabet Timu kama Real Madrid au Man City au Barcelona zenye 95% za kushinda odds sababu ni ndogo hata ukishinda mara 19 ile ya 20 bahati mbaya ukishindwa ukipiga hesabu if you are lucky unaweza ukajikuta umeshinda 10% au umebreak even realistically utajikuta umeloose big time; na hapo kama una-bet Africa haujaweka kodi (Tax on Winning) kwahio hizo odds unazoziona after Tax hio 1.5 au 2.5 sio hio bali ni way less....Its not a business if anytime you can loose all of your cash niambie ni nani kazi yake ni betting na anaishi kwa hizo betting na sio kuuza vitabu, systems au Tips
Hivi mbona kama unaleta stori za ma-inspirational speaker!, maana najaribu kuipata logic kwenye haya mabandiko yako mawili najikuta naiona 'hate na jelous tu'!
 
Back
Top Bottom