Mkuu I repeat no one makes long term money in any football system long term.., its mathematically impossible.., nishafanya research ya all so called systems iwe fixed betting au kutumia kina fibonacci, martingale, hadi kwenye in play backing and laying..., watu wanao make fortunes ni bookmakers na wanaouza system kwa watu juu ya betting.
huwezi ukasema unamake fortune hata ungekuwa una billion ishirini na unabet Timu kama Real Madrid au Man City au Barcelona zenye 95% za kushinda odds sababu ni ndogo hata ukishinda mara 19 ile ya 20 bahati mbaya ukishindwa ukipiga hesabu if you are lucky unaweza ukajikuta umeshinda 10% au umebreak even realistically utajikuta umeloose big time; na hapo kama una-bet Africa haujaweka kodi (Tax on Winning) kwahio hizo odds unazoziona after Tax hio 1.5 au 2.5 sio hio bali ni way less....Its not a business if anytime you can loose all of your cash niambie ni nani kazi yake ni betting na anaishi kwa hizo betting na sio kuuza vitabu, systems au Tips