Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
na
Mkuu don't waste your breathe kwa huyu jamaa, wabongo bana wajuaji sana ila practically hewa, muache ye akalime mahindi, watu wanataka no-risks investments hawajui kua hakuna kitu kama hicho!! On the other side, hata kulima ni betting tu, kuna faida au hasara... nlichogundua mkuu huyo ndezi anapenda kazi za kutumwa na kuagizwa...hakuna raha kama kuingiza hela mda unaotaka wewe na kupumzika mda unaotaka..ikiwa kazi yako ni kubet unaeaza kuamua sasa wiki ijayo niende china tena bila kumuomba ruhusa mtu anaetwa boss..na kurud mda unaoutaka....UTAJIRI WA KWELI NI KUWA NA PESA +MUDA....MTU ASIPOTUMIA AKILI ZAKE,WAJANJA WATAMSAIDIA KUZITUMIA...There is no stupid employer to pay huge amount of salaries to his/her workers so as not to make them quit....