Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Time wastage?? [emoji23][emoji23] bro you need some milk.
kwahio mwezi wa 8 ndio kutakuwa na ups and ups au anaweza kupoteza ikabaki 500K akaamua kuacha kabisa, okay hajapoteza financially what about emotionally and time wastage
 
last time nimeweka kumi wakapitia dah! nikaingia uoga
Betting haitaki hivi, utaishia kuona watu wakikenua tu.

Wao wanashauri weka pesa ambayo uko tayari kuipoteza.,ukiwaelewa hapa hautasumbuka tena.


Mimi kuna siku ilikuwa jmos, nilibeti mara tano mikeka ya elfu kumi kumi, ikawa inachanika, wa mwisho nikaweka 17k nikapata 140k.unaona mambo yanavyokwenda???
 
Back
Top Bottom