Gifted
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 476
- 852
Wewe huwa unafanya kazi ili upate nn, acha mawazo MfuuMnatuharibia vijana hawataki kazi, wamebakia kubet!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huwa unafanya kazi ili upate nn, acha mawazo MfuuMnatuharibia vijana hawataki kazi, wamebakia kubet!!
Kampuni zinazorudisha kodi kama bonus odds zake hua ni ndogo ukifanya comparison mkuuyaani mtu siriasi kabisa unabetj m-bet? Kampuni zisizo na kodi nyingi sana mkuu. Premier,princess,meridian, playmaster betpawa, na nyingine nimesahau.
Kaka,Leo tukipitisha sheria ya ndoa za mashoga kama wazungu wanavyotaka tufanye, je, itakuwa ni halali kwa wewe kufokolewa kinyesi makalioni na mwanaume mwenzio as per the law?
Mkuu that is not a strategy at all, karibia kampuni zote odds zina vary kidogo sana, kupata odds kama 1.65win, 4.40 draw, 7.50 win unaweza kuzipata once in a yearKaka,
Kwa context ya kidini au kiimani sio halali. Ni kama tu viwanda vya pombe, viko kisheria (Company Act 212), lakini kidini pombe sio halali.
For the purpose of this thread, let put aside religious and believes issues. Sometimes kwenye dunia kama hii ambayo hela ndio kila kitu basi imani hua inakua impaired Sana. Tukitaka tufuate kila kitu cha halali maisha yatakua magumu zaidi.
Turudi kwenye Mada. Strategy ya KeyserSoze aliyoitaja iko sahihi kabisa, Sema ina changamoto zifuatazo.
1) Low yield or High capital required.
Hapa unaona kua return per day ni approximately 5%. Kwamba ukiweka stake ya laki 1 utapata tuseme 5,000/= faida. Ili upate zaidi inabid uwe na mtaji mkubwa. 1mil stake utapata faida 50,000/=
2) Transaction Cost. Sijajua ku deposit hela kwenye kampuni yako utatumia njia gani isiyo na makato. Ki bongo bongo (default) sio makato kivile. Hapa pia namaanisha tuseme umecheza kampuni 3 tofauti na ulioshinda ni kampuni "B". Sasa ukitaka kubet tena kesho yake na stake kubwa unataka uiweke kampuni "A" itabidi uhamishe hamishe hapo.
3) Kodi. Kama yield ni ndogo basi pale inapokua taxed ndio inazidi kupungua zaidi. Makampuni ya nje hayana kodi, lakini wengi tumezoea kubeti kwenye haya yaliyoko hapa nchini. Na yenye kodi yaweza kua na odds ndogo.
4) Kupata Maximum odds. Ile website uliyoweka inatoa suggestions ya kampuni za nje, je odds zilizoonyeshwa pale zaweza kupatikana kwenye local companies na zika maximize profit?
5) Kubadilika kwa odds. Kuna makampuni yamekaa kitapeli. Odds unayoiona pale eti ukiwekea bet ndo wanakuambia imebadilika.
All in all ni strategy nzuri kwa wenye mtaji, coz at any point you must win
Mimi sijaongelea kuhusu masuala ya imani au dini, nimeongelea OBJECTIVELY and with a logical and common sense approach, hatuwezi tukawa na taifa la watu wanaotegemea kuishi bila kuzalisha bidhaa au huduma yoyote ile, its plain simple economics, hakuna uzalisha maana yake hakuna uchumi, unahitaji imani ndio ikwambie hii si sawa?Kaka,
Kwa context ya kidini au kiimani sio halali. Ni kama tu viwanda vya pombe, viko kisheria (Company Act 212), lakini kidini pombe sio halali.
For the purpose of this thread, let put aside religious and believes issues. Sometimes kwenye dunia kama hii ambayo hela ndio kila kitu basi imani hua inakua impaired Sana. Tukitaka tufuate kila kitu cha halali maisha yatakua magumu zaidi.
Turudi kwenye Mada. Strategy ya KeyserSoze aliyoitaja iko sahihi kabisa, Sema ina changamoto zifuatazo.
1) Low yield or High capital required.
Hapa unaona kua return per day ni approximately 5%. Kwamba ukiweka stake ya laki 1 utapata tuseme 5,000/= faida. Ili upate zaidi inabid uwe na mtaji mkubwa. 1mil stake utapata faida 50,000/=
2) Transaction Cost. Sijajua ku deposit hela kwenye kampuni yako utatumia njia gani isiyo na makato. Ki bongo bongo (default) sio makato kivile. Hapa pia namaanisha tuseme umecheza kampuni 3 tofauti na ulioshinda ni kampuni "B". Sasa ukitaka kubet tena kesho yake na stake kubwa unataka uiweke kampuni "A" itabidi uhamishe hamishe hapo.
3) Kodi. Kama yield ni ndogo basi pale inapokua taxed ndio inazidi kupungua zaidi. Makampuni ya nje hayana kodi, lakini wengi tumezoea kubeti kwenye haya yaliyoko hapa nchini. Na yenye kodi yaweza kua na odds ndogo.
4) Kupata Maximum odds. Ile website uliyoweka inatoa suggestions ya kampuni za nje, je odds zilizoonyeshwa pale zaweza kupatikana kwenye local companies na zika maximize profit?
5) Kubadilika kwa odds. Kuna makampuni yamekaa kitapeli. Odds unayoiona pale eti ukiwekea bet ndo wanakuambia imebadilika.
All in all ni strategy nzuri kwa wenye mtaji, coz at any point you must win
Ngoja niangalie link aliyoweka kisha kwenye bookies wetuMkuu that is not a strategy at all, karibia kampuni zote odds zina vary kidogo sana, kupata odds kama 1.65win, 4.40 draw, 7.50 win unaweza kuzipata once in a year
Kama jamaa anabisha mwambie atutaftie odds kama hizo kwenye any upcoming event,
Nina mashaka na ufahamu wako katika maswala ya uchumi,Mimi sijaongelea kuhusu masuala ya imani au dini, nimeongelea OBJECTIVELY and with a logical and common sense approach, hatuwezi tukawa na taifa la watu wanaotegemea kuishi bila kuzalisha bidhaa au huduma yoyote ile, its plain simple economics, hakuna uzalisha maana yake hakuna uchumi, unahitaji imani ndio ikwambie hii si sawa?
kusema nimeshinda kunapotosha vipi watu? Kuna watoto humu ndani ambao hawawezi kufanya maamuzi yao binafsi?Hivi haka kauzi kanahusiana na wazee wa forex..maana hata yule mzee was forex alikujaga hivi hivi na stori za mashamba baadae utasikia natoa kozi...all in all uchumi unaoendeshwa na betting ni uchumi mfu .....BET for fun ila fanya kazi za kuingizia taifa...unawapotosha watoto
Mi nimetoa insights zangu nashangaa kuna watu wanatoa mapovuKuna wapuuzi wachache wamekuja kupinda mada njema ya mtoa mada...
Achana nao mzee baba,,Mi nimetoa insights zangu nashangaa kuna watu wanatoa mapovu
Ila wadau walikuja mwona hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1529567/kusema nimeshinda kunapotosha vipi watu? Kuna watoto humu ndani ambao hawawezi kufanya maamuzi yao binafsi?
Na kwenye betting hakuna sure outcome, ikitokea mtu akikuambia umpe hela akupe odds utakua mjinga wa kiwango cha lami,
Naona ushaniattack hapo kua sina kazi!!! Unanifahamu???
Ontario alijibu hv 'i never realy invested energy in forex..because i knew from the roots you get rich by inducting it to losers.'kuna neno wanasema ukiona mtu anakupeleka kukuonyesha fursa....basi ujue we ndo fursa.....Mi nimetoa insights zangu nashangaa kuna watu wanatoa mapovu
Betting hainaga mbwembweOntario alijibu hv 'i never realy invested energy in forex..because i knew from the roots you get rich by inducting it to losers.'kuna neno wanasema ukiona mtu anakupeleka kukuonyesha fursa....basi ujue we ndo fursa.....
Achana naoKuna wapuuzi wachache wamekuja kupinda mada njema ya mtoa mada...
Sasa mkuu mi sielewi kwenye betting mtu anakutapeli vipi kwa mfano??Wengine manyani wazee bana tushazoea mishale mingi humu jf alianzaga jamaa anaitwa ontario na forex...weye ndugu yetu nawe umekuja na mamilioni ye alikuja na sijui kulima mashamba kwa siku 30 akapiga mamilion....Ila wadau walikuja mwona hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1529567/
Sasa mkuu mi sielewi kwenye betting mtu anakutapeli vipi kwa mfano??
Kuna wapuuzi wanatapeliwa eti unauziwa sure fixed odds!! Ukifika stage hio ya kuuziwa odds basi utakua mjinga kiwango cha lami na una kila haki ya kutapeliwa
Pole kijana. Nipe mfano wa mtu au watu waliotoboa maisha kwa kubeti . wanaoingiza pesa kwa kazi ndio hufanikiwa Na kutoboa sio kubeti . ila endeleeni siku mkiangukia pua ndio mtatubu Na kujua kiwa kubeti hufilisi! Akili na nguvuWewe huwa unafanya kazi ili upate nn, acha mawazo Mfuu