Nimetengeneza App inayofanana na app ya Threads inayoshindana na Twitter

Kampuni kama META na zinginezo zinatia mabilioni ya pesa kwenye kutanganza mitandao yao. Na ndio maana wamefanikiwa kukusanya watu wengi kwenye mitandao yao
kwa level zao ni sawa ila kwa unaeanza huwezi kuwekeza sana kwenye matangazo ni uwe mbunifu ili watu wavutiwe na ubunifu unaopatikana kwenye app yako
 
kwa level zao ni sawa ila kwa unaeanza huwezi kuwekeza sana kwenye matangazo ni uwe mbunifu ili watu wavutiwe na ubunifu unaopatikana kwenye app yako
Bado utahitaji pesa ili ubunifu wako uweze kuonekana na watu wengi. Pia ni ngumu kuwa mbunifu kama hauko financially stable.

Kwahiyo pesa ni mandatory
 
Bado utahitaji pesa ili ubunifu wako uweze kuonekana na watu wengi. Pia ni ngumu kuwa mbunifu kama hauko financially stable.

Kwahiyo pesa ni mandatory
inawezekana ikawa hivyo lakini zipo app ambazo zilianza kawaida ila kutokana na ubunifu na uniqueness yake zikakua na kukuza soko lake. Baada ya hapo ndio mengineyo hufuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…