Nimetengeneza App inayofanana na app ya Threads inayoshindana na Twitter

Nimetengeneza App inayofanana na app ya Threads inayoshindana na Twitter

Niliwahi jaribu kujifunza online ila nikagundua mashine yangu haipo compatible na blender. Nikaamua nitafute sehemu ambayo wana vifaa tayari, nijifunze kisha once nikimaliza nipambane kupata vifaa vitakavyokua compatible
Anha nicheki PM kuna jamaa yangu anafanya 3d pia na ameajiriwa nadhani atapata muda wa kukufundisha 1 on 1
 
ulichofanya ni kama kunyonya muvi kwenye pc unahamishia kwenye flash, umeinyonya na si kuitengeneza muvi.

Nakumbuka mwaka 2013 hivi pale udom mashirika yalienda kumsapoti mwanafunzi katengeneza copy ya facebook kaiita mayocco,com yeye akasema katengeneza 😂😂😂

google na github hizo copy za threads zipo kibao 😂
Kama hajacopy na kupaste code basi katengeneza huyo. Na alistahiki pongezi
 
Kama hajacopy na kupaste code basi katengeneza huyo. Na alistahiki pongezi
pongezi zipi wakati ni clone hizo hizo tu, mtu anadownload code ya template mtandaoni ana edit vitu vichache tu lugha, picha, n.k.

baada ya hapo anahost anaiita jina analotaka.com

Tunachukulia poa haya mambo ila kuiga iga huku unaweza kutandikwa kesi ya haki miliki, nadhani alishaonywa juu ya hili akaifunga
 
pongezi zipi wakati ni clone hizo hizo tu, mtu anadownload code ya template mtandaoni ana edit vitu vichache tu lugha, picha, icons, mpangilio, n.k.

baada ya hapo anahost anaiita jina analotaka.com

Tunachukulia poa haya mambo ila kuiga iga huku unaweza kutandikwa kesi ya haki miliki, nadhani alishaonywa juu ya hili akaifunga
Mimi sijacopy code. Nimeanza from scratch. Na siwezi copy code zao hata kama wangeziweka wazi sababu nimetumia Flutter kutengeneza hio clone. Wao wametumia native android & ios so haziwezi ingiliana.

Kwa haya majibu yako unaonekana huna unalojua kuhusiana na App development. Unajibu tu uonekane umejibu

Uliza uelekezwe
 
Back
Top Bottom